blackgal94
Member
- Jul 13, 2016
- 37
- 15
Wapendwa naombeni kuuliza ivi kwa Kuna tiba ya watu wenye tatizo la kutoka Jasho miguuni unyayoni na viganja vya mikononi anisaidie pliz...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni dalili ya mtu muoga kupindukia
kwanza ni dalili kuu kuwa una matatizo ya moyo,kacheki kwa specialists mkuu!Wapendwa naombeni kuuliza ivi kwa Kuna tiba ya watu wenye tatizo la kutoka Jasho miguuni unyayoni na viganja vya mikononi anisaidie pliz...
Weee apana banA MI sina etyhaina uhusiano na ugonjwa wa kisukari kweli?
Mmmmmhkwanza ni dalili kuu kuwa una matatizo ya moyo,kacheki kwa specialists mkuu!