Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa.
Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi kuhusu kutumika kwa dawa hiyo, tayari imeonekana kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa dawa hiyo nchini.
#azamnewsupdates
✍@official_jennifersumi