Dawa ya Traffic Toarch

inategemeana na wewe utakavyoiset ipo ambayo itakueleza hata bara bara ikiwa na mashimo mbele inakwambia kabisa mbele 10km huwa kuna road block ya police,Camera na matukio yote ya bara barani...
Tii sheria bila shuruti ndiyo dawa pekee na kuepukana na hao jamaa wa torch, vinginevyo utawenaswa kama kuku wa kisasa.
 
Na mkipata ajali , mnaanza kulaumu serikali.....

Kazi njema ndugu.
 
hiyo app nishawah kuitumia ila inaonyesha walipokuwa sio current inaweza kuonyesha ilipokuwa Jana au masaa kadhaa yaliyopita
 
semaa hujui uelekezwe sio kutoa povuu mkuuu io kituu ipoo na inafanya kazi vizurii tuu
 
Niliwahi kuitumia
Tupe Mkuu hawa wanyonyaji wanatutesa mno Jana tu wamekula 30000
 
Ipo inaitwa kom ingia playstore utaikua rangu ya bluee ina mapembe kama swala
 
Application hiyo ni ile ya kukutafsiria alama za barabara uzielewe kiunagaubaga na sivinginevyo. La sivyo rudi driving school..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…