kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Tii sheria bila shuruti ndiyo dawa pekee na kuepukana na hao jamaa wa torch, vinginevyo utawenaswa kama kuku wa kisasa.inategemeana na wewe utakavyoiset ipo ambayo itakueleza hata bara bara ikiwa na mashimo mbele inakwambia kabisa mbele 10km huwa kuna road block ya police,Camera na matukio yote ya bara barani...