Hi jf members, mke wangu ana mimba ya miezi minne (4), mwa lakn tumbo linamsumbua sana chini ya kitovu muda mwingine pembeni mwa tumbo, je ni hali ya kawaida kwa akina mama?
Je ni dawa gani ambayo anaweza tumia na isimletee madhara? Je ni kipndi gani mtoto huanza kujigeuza tumboni?
MziziMkavu na wengine wenye utalaamu nisaidieni hili