Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

Anaumri gani? Mimi alinisumbua sana akiwa na miezi mitatu nili mpa juice ya malimao changanya tangawizi changany na tangawizi ule mchuzi changany na asali , ongeza maji kidogo sana mpe kijiko kidog cha chai. Tokea hapo cjasumbuliwa namichangk ovyo, alikua akizingua nampa, kwenye mawingu wingu nampa mpaka ss anamiezi tisa nilikua nalal kwa aman toka hapo
 
Mchemshie mzizi wa mbuyu.hii ndo dawa nzuri ambayo sisi huwa tunatumia anzia kwa mababu na ina matokeo mazuri sana
 
polen sana...mama ajitahidi kumcheulisha mtoto kila anaponyonya..kisha awe anamlaza kwa tumbo hasa mchana hii husaidia gesi kuika tumbon na hataumwa tena.
mim nina watoto mapacha wa kike ndugu walivyofikisha miez 3 niliwapa mafuta ya maziwa yaani siagi vijiko vya chai 4 kwa siku 2 hii ilisaidia kusafisha tumbo na kulainisha tumbo pia ambapo mmeng'enyo unakua rahis na hakuna gesi inayokaa sikuwahi kuwapa dawa yeyote wala sikuwah kuona hilo chango.zingatia hili utayaona manufaa.hayo madawa ya hosp yanatibu kwa muda tu lakin ya kutibu milele ndo hiyo.
hiyo siagi unaipataje kutoka kwenye maziwa msaada tafadhari
 
Habari ndugu nipo DARESSALAAM
Siagi naipata wapi
polen sana...mama ajitahidi kumcheulisha mtoto kila anaponyonya..kisha awe anamlaza kwa tumbo hasa mchana hii husaidia gesi kuika tumbon na hataumwa tena.
mim nina watoto mapacha wa kike ndugu walivyofikisha miez 3 niliwapa mafuta ya maziwa yaani siagi vijiko vya chai 4 kwa siku 2 hii ilisaidia kusafisha tumbo na kulainisha tumbo pia ambapo mmeng'enyo unakua rahis na hakuna gesi inayokaa sikuwahi kuwapa dawa yeyote wala sikuwah kuona hilo chango.zingatia hili utayaona manufaa.hayo madawa ya hosp yanatibu kwa muda tu lakin ya kutibu milele ndo hiyo.
 
Mchemshie mzizi wa mbuyu.kisha unampatia kijiko cha chai utasahau kuskia mtoto akilia
 
Hakika hili ni Tatizo kwa Watoto wa umri chini ya miezi 3 niko na mapacha Wawili wa kiume wanasumbua sana But nimekubali Mawazo ya humu watu wako well sana hii ya chumvi na sukari kias ni special sana maana ni Rahisi kwa wote na inasaidia chemsha maji hakikisha yamechemka tia kijiko 🥄🥄 cha sukari na chumvi maji yasiwe mengi sana 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom