Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

Anaumri gani? Mimi alinisumbua sana akiwa na miezi mitatu nili mpa juice ya malimao changanya tangawizi changany na tangawizi ule mchuzi changany na asali , ongeza maji kidogo sana mpe kijiko kidog cha chai. Tokea hapo cjasumbuliwa namichangk ovyo, alikua akizingua nampa, kwenye mawingu wingu nampa mpaka ss anamiezi tisa nilikua nalal kwa aman toka hapo
 
Mchemshie mzizi wa mbuyu.hii ndo dawa nzuri ambayo sisi huwa tunatumia anzia kwa mababu na ina matokeo mazuri sana
 
hiyo siagi unaipataje kutoka kwenye maziwa msaada tafadhari
 
Habari ndugu nipo DARESSALAAM
Siagi naipata wapi
 
Mchemshie mzizi wa mbuyu.kisha unampatia kijiko cha chai utasahau kuskia mtoto akilia
 
Hakika hili ni Tatizo kwa Watoto wa umri chini ya miezi 3 niko na mapacha Wawili wa kiume wanasumbua sana But nimekubali Mawazo ya humu watu wako well sana hii ya chumvi na sukari kias ni special sana maana ni Rahisi kwa wote na inasaidia chemsha maji hakikisha yamechemka tia kijiko πŸ₯„πŸ₯„ cha sukari na chumvi maji yasiwe mengi sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…