Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
- Thread starter
-
- #21
Unaomba ujinga ...nenda kafanye udikteta nyumbani kwako na familia yako uone kama utapata maendeleo
Amani imekuchosha nenda kakae kigali, Sudan uone wananchi wanavyonyanyasika ndio uje uongee upupu wako...
Pathetic eti na wewe ni thinker shame on you[/quote
Mbona hasira mkuu?
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.
Mimi sijui kama hii ni kweli au la.
Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.
Wewe wasemaje?

Siyo hasira mkuu, sipendi kabisa kusikia dicteta kwenye maisha yangu...
Wacha watu wapingane kwa hoja kila baada ya miaka mitano ang'olewe mtu kwa kura
Wewe kama hupendi ufisadi invest kwenye civil education kuanzia nyumbani kwako taifa ni familia..utaona mabadiliko siku zijazo
Big NO kwa udicteta, ufalme, uqeen, chama kimoja, etc.
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.
Mimi sijui kama hii ni kweli au la.
Mimi Nadhani ili kuondoa ufisadi watu wenyewe ni lazima wauchukie ufisadi kutoka moyoni na kupambana nao kisheria.
Wewe wasemaje?
Mkuu OGAH,...Yes....we need Good Dictators kama wale wa baadhi ya nchi za South East Asia.....
Historia ishaonyesha nchi zote zilizotawaliwa na madkteta hazikufanikiwa. So why need one here?? Mifano ni mingi tu, from Idd Amin, Bokassa, Mobutu etc.
Kuna watu wanapendelkeza kuwa dawa ya kumaliza ufisadi Tanzania ni nchi hii kutawaliwa kidikteta.
Mimi sijui kama hii ni kweli au la. utaweala wowote unaowapa wananchi kilicho chao ndio utawala bora. tanzania for change hatuitaji mshahara pesa za wananchi ni za wenyenchi. http://tzforchange.blogspot.com/
demokrasia, huenea vema katika jamii yenye maendeleo ya kweli. demokrasia haiyatangulii maendeleo, ila kinyume chake na hakika viwili hivi havikui pamoja.
the challenge however, is to get a visionary DIKTETA! visionary enough to rule the country with a team of around 10 guys, no Bunge no bull shit! Order for five years kama nidhamu haijarudi, mziki unasinga mbele miaka mingine 5.
that way tutasónga mbele. SHIT!
Wanao suggest hivyo hawaja ona first hand utawala wa kidikteta ndiyo maana wana ropoka tu.Moja wapo la tatizo la Tanzania ni kwamba raisi ana nguvu nyingi na hamna checks & balance. Sasa mtu akija kushauri raisi awe na absolute power lazima kujiuliza upeo wa huyo mtu.
Mkuu OGAH,
Kauli yako hii ni tofauti sana na wadau waliotangulia.
Naona una msimamo wa kutosha.
Naamini watakapojitokeza kukupinga utaweza kujitetea.
Historia ishaonyesha nchi zote zilizotawaliwa na madkteta hazikufanikiwa. So why need one here?? Mifano ni mingi tu, from Idd Amin, Bokassa, Mobutu etc.
Mkuu,
Naamini kuna 'grades' nyingi za udikteta. Hakuna anayetaka zile ambazo ni brutal, barbaric na repressive kama za akina Amin, Bokassa, Hitler, nk.
Nadhani baadhi ya wadau humu tunapendekeza zile dictatorship ambazo ni visionary, benevolent na progressive. Isitoshe iwe kwa kipindi cha mpito tu mpaka pale tutakapokuwa tayari kushiriki katika demokrasia ya kweli na sii ya kisanii kama hii tuliyonayo sasa.
...Yes....we need Good Dictators kama wale wa baadhi ya nchi za South East Asia.....
Mkuu OGAH,
Kauli yako hii ni tofauti sana na wadau waliotangulia.
Naona una msimamo wa kutosha.
Naamini watakapojitokeza kukupinga utaweza kujitetea.
Mbali ya madikteta wa Afrika walioleta maendeleo ya nchi zao kama Col. Gaddafi na viongozi wa Tunisia, tunaweza kuangalia mifano nje ya Afrika hususan nchi za Asia. Ambapo utawala wa kidikteta umechangia kufanya mapinduzi ya kiuchumi ktk nchi hizo za Asia, na ukiangali wengi wao walitawala vipindi virefu (muda wao wa utawala ktk mabano hapo chini) na wengine alipokea madaraka toka kwa baba zao:
Lee Kuan Yew wa Singapore (1959-1990)
General Park Chung Hee wa South Korea ( 1961-1979)
Chiang Ching Kuo wa Taiwan (1972-1988)
General Suharto wa Indonesia (1967-1998)
Mahathir bin Mohamad wa Malaysia (1981-2003)
Hivyo dikteta akiwa na visheni ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi, historia inaonyesha kuwa kuna matokeo mazuri. Kwanza hakuna muda wa blah blah za kisiasa, matumizi ya kifedha ktk sehemu ya taasisi za kidemokrasia yanakuwa hakuna .e.g hakuna bunge, hakuna wabunge, hakuna vyama vya siasa, hakuna ruzuku kwa vyama, hakuna vyeo vya ukuu wa wilaya n.k Pesa zote zinzooklewa kwa kwa ajili ya kukuza uchumi, miundo mbinu, viwanda n.k
Wana JF hivi Ufisadi uko katika kiwango gani katika Tz? Tunalinganisha na nchi zipi?
Leta hojaMkuu,
Naamini kuna 'grades' nyingi za udikteta. Hakuna anayetaka zile ambazo ni brutal, barbaric na repressive kama za akina Amin, Bokassa, Hitler, nk.
Nadhani baadhi ya wadau humu tunapendekeza zile dictatorship ambazo ni visionary, benevolent na progressive. Isitoshe iwe kwa kipindi cha mpito tu mpaka pale tutakapokuwa tayari kushiriki katika demokrasia ya kweli na sii ya kisanii kama hii tuliyonayo sasa.
CORRECT me if i am wrong,how come world history tells us Nyerere was one such dictator and yet development was reversedMkku udikteta wowote means hamna rule of law na mtu mmoja ndiye alpha na omega wa kila kitu. Je mna uhakika huyo dikteta atakae patikana atakua visionary, benevolant na progressive? Katika breed ya leaders tulio nao sasa mmoja wapo akipata nafasi ya kuwa dikteta unadhani ata kuaje? Nyie watu be careful what you wish for. Huyo Dikteta mnaye mtaka sijui mume muona wapi.