Mkuu hapo tafuta aloevera ile yenye majani membamba, ukishaoga, pasua jani la aloevera kisha jisugulie kule ndani. Fanya hivyo mwili wote afu usivae nguo unazovaa kila siku. Vaa ambazo hujawahi.
Nguo zako zote zifue kwa Maji ya moto na detol. utausahau maisha