Dawa ya ugonjwa huu wa ngozi ni ipi?

Dawa ya ugonjwa huu wa ngozi ni ipi?

Joined
Dec 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Mwili wangu ulishageuka na kuwa kama gwanda la mwanajeshi au chui.
Wakati wa jua natoa harufu mbaya ya joto.
 
ugonjwa wa ngozi unaokubadili ngozi kuwa na madoa kama chui au gwanda la kijshi(MBA)
 
Mkuu hapo tafuta aloevera ile yenye majani membamba, ukishaoga, pasua jani la aloevera kisha jisugulie kule ndani. Fanya hivyo mwili wote afu usivae nguo unazovaa kila siku. Vaa ambazo hujawahi.
Nguo zako zote zifue kwa Maji ya moto na detol. utausahau maisha
 
Back
Top Bottom