Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Weka picha tu sasa maana hakuna namna.
Heeeee, na hiyo nati ya scania kwenye libolo kweli usipate maradhi ya ngozi kweli?Unataka picha tu? Haya hio hapo chini. Mpwa wangu mleta mada chukua au nunua Dettol ile kali sio hizi magumashi. Fua chupi zako zote na mataulo yako yote loweka kwa dettol. Nunua topaz safisha huko ikulu na hakikisha chupi na taulo unaanika sehemu yenye upepo na usitumie chupi ambayo haijakauka vyema. Kila ukifua zuuza nguo hizo kwa dettol au pia upige pasi na topaz iwe jirani. Unyevu ndio huzaa hao wadudu.
unataka picha tu? Haya hio hapo chini. Mpwa wangu mleta mada chukua au nunua dettol ile kali sio hizi magumashi. Fua chupi zako zote na mataulo yako yote loweka kwa dettol. Nunua topaz safisha huko ikulu na hakikisha chupi na taulo unaanika sehemu yenye upepo na usitumie chupi ambayo haijakauka vyema. Kila ukifua zuuza nguo hizo kwa dettol au pia upige pasi na topaz iwe jirani. Unyevu ndio huzaa hao wadudu.
hahahahaaaa alikua anafunga BOMBAkulikoni nuty?
Habari zenu? jamani naombeni msaada wa kujua dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri hasa ukitumia dawa unajirudia nishaenda hospital hadi nimekata tamaa msaada tafadhari.
Mkuu pole kwa matatizo, dawa yake tafuta hina ya kuchuma (majani ) yahanike halafu saga upate unga wake changanya na maji ujipake (asubuhi na mchana) ni vizuri ukatibu na ndani ya mwili, chukua kijiko cha chai kimoja unaweza kuchanganya katika maziwa, maji ya uvuguvugu na kunywa. Tunaitaji mrejesho
Sasa panakuaje huko kwa bibi aisee!