Dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,093
Reaction score
2,046
Habari zenu? jamani naombeni msaada wa kujua dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri hasa ukitumia dawa unajirudia nishaenda hospital hadi nimekata tamaa msaada tafadhari.
 
Ndugu jaribu bidhaa za Grace na ikiwezekana mtafute akupe ushauri. Pole sana
 
Weka picha tu sasa maana hakuna namna.

Unataka picha tu? Haya hio hapo chini. Mpwa wangu mleta mada chukua au nunua Dettol ile kali sio hizi magumashi. Fua chupi zako zote na mataulo yako yote loweka kwa dettol. Nunua topaz safisha huko ikulu na hakikisha chupi na taulo unaanika sehemu yenye upepo na usitumie chupi ambayo haijakauka vyema. Kila ukifua zuuza nguo hizo kwa dettol au pia upige pasi na topaz iwe jirani. Unyevu ndio huzaa hao wadudu.
 
Attachments

  • 1450454671316.jpg
    1450454671316.jpg
    75 KB · Views: 896
Unataka picha tu? Haya hio hapo chini. Mpwa wangu mleta mada chukua au nunua Dettol ile kali sio hizi magumashi. Fua chupi zako zote na mataulo yako yote loweka kwa dettol. Nunua topaz safisha huko ikulu na hakikisha chupi na taulo unaanika sehemu yenye upepo na usitumie chupi ambayo haijakauka vyema. Kila ukifua zuuza nguo hizo kwa dettol au pia upige pasi na topaz iwe jirani. Unyevu ndio huzaa hao wadudu.
Heeeee, na hiyo nati ya scania kwenye libolo kweli usipate maradhi ya ngozi kweli?
 
unataka picha tu? Haya hio hapo chini. Mpwa wangu mleta mada chukua au nunua dettol ile kali sio hizi magumashi. Fua chupi zako zote na mataulo yako yote loweka kwa dettol. Nunua topaz safisha huko ikulu na hakikisha chupi na taulo unaanika sehemu yenye upepo na usitumie chupi ambayo haijakauka vyema. Kila ukifua zuuza nguo hizo kwa dettol au pia upige pasi na topaz iwe jirani. Unyevu ndio huzaa hao wadudu.

kulikoni nuty?
 
asanteni sana wakuu ila we unayetaka picha kidogo kuna tatizo simu yangu haiupload picha
 
Habari zenu? jamani naombeni msaada wa kujua dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri hasa ukitumia dawa unajirudia nishaenda hospital hadi nimekata tamaa msaada tafadhari.

Mkuu pole kwa matatizo, dawa yake tafuta hina ya kuchuma (majani ) yahanike halafu saga upate unga wake changanya na maji ujipake (asubuhi na mchana) ni vizuri ukatibu na ndani ya mwili, chukua kijiko cha chai kimoja unaweza kuchanganya katika maziwa, maji ya uvuguvugu na kunywa. Tunaitaji mrejesho
 
sawa mkuu
 
Jaribu epiderm creme...ni antifungal/antibacterial...inamaliza vipele/pimples/acne ya kichwa(folliculitis) plus more...ikikataa lazima umwone dermatologist daktari wa ngozi achukue sample alafu atakushughulikia tu
 
Ushauri wa bure utaliwa hela tafuta majani ya aloe vera ujikamulie sehemu husika wiki moja haitokwisha
 
Mkuu pole kwa matatizo, dawa yake tafuta hina ya kuchuma (majani ) yahanike halafu saga upate unga wake changanya na maji ujipake (asubuhi na mchana) ni vizuri ukatibu na ndani ya mwili, chukua kijiko cha chai kimoja unaweza kuchanganya katika maziwa, maji ya uvuguvugu na kunywa. Tunaitaji mrejesho

Mkuu hiyo dawa yako si kwamba utaongeza tatzo zaid maana ninavyojua hina huwa inafanya decolative. Sas navuta picha ikipakwa kwenye kile kichwa kidogo jisicho na nywere au sehem zinazozunguka maeneo yale mmmhhhh
 
Back
Top Bottom