Dawa ya unene

Dawa ya unene

Inashangaza sana!! watu wanaukataa unene wewe unautafuta, kuutafuta unene ni rahisi lakini ukishakuwa mnene utakereka na umbo lako, hakuna nguo itakayokukaa vizuri, utakuwa huna mvuto kwa wanaume (km wewe ni mwanamke), litumbo hilo...ukivua nguo unatamani ujikimbie mwenyewe. Kwa ushauri tu..kama wewe ni kimbaumbau sana ongezeka uzito kidogo tu ili upendeze, but ukishakuwa mnene rasfiki yangu....utajichukia, na kurudi kwenye wembamba ni kazi sana.
 
Anapenda aitwe bonge nyanya
 
Back
Top Bottom