mkuu njia nzuri ni kufuata uelekeo wa ndevu zilivyoota mfano za shavuni zipandishe juu za kidevuni zishushe chini usiende opozit nazoneo medrol acne lotion
ndio soltion inatibu mpaka vipere/uvimbe nyuma ya kichwa. Zinapatikana
Shoper plaza,mimi aliniletea rafiki angu toka nje,ilinisaidia
Samahani hii inaaply kidevuni tu au hata huku hivi?Baada ya kushave kanda kwa maji ya moto asubuh na jion then utanipa majibu japo cjajua kisayansi imekaa vp but mi nimefanikiwa
Samahani hii inaaply kidevuni tu au hata huku hivi?
Baada ya kushave kanda kwa maji ya moto asubuh na jion then utanipa majibu japo cjajua kisayansi imekaa vp but mi nimefanikiwa
Na penyewe si kama kidevuniNako kunatoka upele?
Samahani hii inaaply kidevuni tu au hata huku hivi?
kumbe, haya...eh eh eh, Evelyn bhana...uko sharti umpe kazi kinyozi wako!hautaona hata kipele!