Dawa ya upele kwenye kidevu hii hapa

Dawa ya upele kwenye kidevu hii hapa

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Baada ya kushave kanda kwa maji ya moto asubuh na jion then utanipa majibu japo cjajua kisayansi imekaa vp but mi nimefanikiwa
 
Ni tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu sasa, ila ninaposhave salon hakuna lolote linalotokea....
Nitajaribu na hiyo pia!!!
 
neo medrol acne lotion ndio soltion inatibu mpaka vipere/uvimbe nyuma ya kichwa. Zinapatikana Shoper plaza,mimi aliniletea rafiki angu toka nje,ilinisaidia
 
neo medrol acne lotion
ndio soltion inatibu mpaka vipere/uvimbe nyuma ya kichwa. Zinapatikana
Shoper plaza,mimi aliniletea rafiki angu toka nje,ilinisaidia
mkuu njia nzuri ni kufuata uelekeo wa ndevu zilivyoota mfano za shavuni zipandishe juu za kidevuni zishushe chini usiende opozit nazo
 
Nimeshajaribu sana hilo zoezi la kukanda na maji moto lakini wapi
Baada ya kushave kanda kwa maji ya moto asubuh na jion then utanipa majibu japo cjajua kisayansi imekaa vp but mi nimefanikiwa
 
shave uelekeo wa nywele jinsi ulivyoota ukimaliza paka poda kama spiriti hamna me ndo navyojua hivi
 
Back
Top Bottom