Mkuu kwa suala la ngozi hata ugonjwa wowote ni lazima uonane na daktari. Nimekwambia upele ni dalili ya magonjwa mengi ya ngozi na hata yasiyo ya ngozi. Hivyo kama unataka tiba ni lazima ukamfuate daktari. Kama huwezi basi hutasaidika.Asanten kwa mawazo!mimi nipo tabora manispaa.nasubiri mawazo zaid.
Mkuu kwa suala la ngozi hata ugonjwa wowote ni lazima uonane na daktari. Nimekwambia upele ni dalili ya magonjwa mengi ya ngozi na hata yasiyo ya ngozi. Hivyo kama unataka tiba ni lazima ukamfuate daktari. Kama huwezi basi hutasaidika.
Mkuu hapo kwenye nyekundu nadhan wamechek VDRL,(Venereal Disease Research Laboratory) wameangalia kama una kaswende (syphilis).Nashukuru nimeonana wma daktar.wakachukua damu yangu ili kt check NDRL.Leo nimefata majibu wameandika NDRL-Reactive.Dokta akaniandikia Doxacycline pamoja na sabuni ya kuogea.Hakutaka kuniambia NDRL nini.Nauliza majibu haya kitaalamu yana maana gani?Dokta wangu yupo mtata sana hapendi kuulizwa ulizwa.NASUBIR MSAADA JAMANI.