Dawa ya UPELE ni ipi jamani?

Dawa ya UPELE ni ipi jamani?

Chukua kitunguu thaumu ukitwange mpaka kiwe laini kisha uchukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye vipele ufanye kama unasugua . kwa uwezo wa Allah utapona.
 
asante ndugu.tatizo ni karibia mwili mzima una vipele.
 
Back
Top Bottom