Robie Wa kwanza
Member
- Feb 4, 2015
- 7
- 1
Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
Hili tatizo mkuu limeanzia kwa wenzetu ulaya,hii tabia ya wanawake kukaa nusu uchi imechangia sana kuwapunguzia wanaume hamu ya hii kitu.Just imagine unapotoka nyumbani kwenda kwenye mihangaiko kwa wale wa mijini,unakutana na wanawake wangapi ambao sehemu zao za ndani zinaonekna?yaani mpaka unarudi nyumbani jioni hamu yote imekwisha.Sasa kwa mwezi,kwa mwaka unaona wangapi!Kuna haja ya Mjadala wa Kitaifa juu ya Jambo hili, Wanaume wanaumia kimya kimya, Je kuna Conpiracy yoyote ya iliyopelekea hali hii kutokea?.
Je kuna kemikali zozote katika bidhaa zinazowekwa kisirisiri kuwapunguza kasi wanaume?
Je Mionzi ya simu za mkononi iliotapakaa kila sehemu imepelekea hali hii?
Je haya maji ya kunywa ya chupa, zinazopigwa na jua kila siku hayapelekei tatizo hili?
Je hivi vyakula vinavyolimwa kwa madawa ya kuulia wadudu havipelekei tatizo hili?
Je Makuku ya kisasa tunayokula hayapelekei tatizo hili?
Junior member, kama hukuzaliwa na hilo tatizo, basi huna sababu ya kuhangaika, nitafute nikupe maelekezo au nikupeleke kwa mzee wangu, yeye amebobea katika haya mambo, utaweza kupata tiba tena kwa garama ndogo sana. wewe pamoja na wengine wenye tatizo kama hili, nitafute kupitia 0717 946614.
Hili ndio jibu sahihi..mazoezifanya mazoezi. hata pushup tano huwezi unategemea kuwa na nguvvu za kiume?. pia hili suala limekuuzwa sana itafika kipindi watu watakuwa tayari kuua kwa sababu ya nguvu za kiume.
Unataka nguvu nyingi ili ufanyie nn?
aya nitafanyafanya mazoezi. hata pushup tano huwezi unategemea kuwa na nguvvu za kiume?. pia hili suala limekuuzwa sana itafika kipindi watu watakuwa tayari kuua kwa sababu ya nguvu za kiume.
Ningependa kukuuliza maswali mawili kwanza tatizo lako ni nini..hajapata mtoto or unataka ustahimili kujamiiana kwa musa mrefu kama tatizo lako limo kwenye maswali hayo basi kwa jibu la swali la kwanza nenda hospital na partner wako ambaye mmekuwa mkijaribu kupata mtoto ndani ya mwaka 1,wote mtapimwa na tatizo litapatikana na utapimwa wingi wa mbegu zako,idadi,umbile na afya, kama tatizo lako lipo kwenye swali la pili kustahimili muda wa mapenzi cha msingi lazima uelewe hili swala ni psychology yako wakati wa tendo kama wewe hujatimiza miaka 50 lazima utambue hilo ila kama ni shida unaweza tumia dawa ambazo umeshaandikiwa kwenye post moja hapo juu la msingi uwe makini kwenye utumiaji.