Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani

Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani

Kuna haja ya Mjadala wa Kitaifa juu ya Jambo hili, Wanaume wanaumia kimya kimya, Je kuna Conpiracy yoyote ya iliyopelekea hali hii kutokea?.
Je kuna kemikali zozote katika bidhaa zinazowekwa kisirisiri kuwapunguza kasi wanaume?
Je Mionzi ya simu za mkononi iliotapakaa kila sehemu imepelekea hali hii?
Je haya maji ya kunywa ya chupa, zinazopigwa na jua kila siku hayapelekei tatizo hili?
Je hivi vyakula vinavyolimwa kwa madawa ya kuulia wadudu havipelekei tatizo hili?
Je Makuku ya kisasa tunayokula hayapelekei tatizo hili?
 
Nenda kwa daktari kuna vitu tofauti ambavyo vinaweza kusababisha mapungufu ya nguvu za kiume kama lishe,maisha unayoishi mfano stress,umri,matatizo katika afya ya uzazi n.k Vitu vingine ni kama

  • Una plaque(atheroscelorosis) kwenye mishipa ya damu ya uume hii hupatwa zaidi na watu wenye umri mkubwa
  • Mapungufu kwenye nerveimpluses kutokana na majeraha kwenye mgongo na kiuno,Hii inaweza kusababishwa na magonjwa kama Parkinsons au polynevropathy ama operation za aina tofauti kama ya prostata.
  • Ugonjwa wa kisukari
  • Mapungufu ya homoni za kiume (testosterone),ukichangia na mapungufu ya msukumo wa damu kwenye uume au hypogonadism kwa wanaume wenye umri mdogo.
  • Inaweza kusababishwa na side effects ya baadhi ya dawa pia kama antidepressants,betareseptorantagonists au Angiotensin II inhibitors.

Tiba zinazoweza kutumika ni
  • Phosphodiesterase 5-inhibitors(sildenafil/viagra,tadalafil/cialis,vardenafil/levitra):Hii inasaidia mishipa ya damu kurelax.Ni muhimu uwe unajisikia hamu ya kukutana kimwili ukitumia dawa hizi.
  • Testosterone:Hii ni kwa wanaume wenye umri mdogo au hypogonadism
  • Alprodastil(Prostaglandin E)/Carvaject:Hii ni sindano inayochomwa kwenye uume.
 
Kuna haja ya Mjadala wa Kitaifa juu ya Jambo hili, Wanaume wanaumia kimya kimya, Je kuna Conpiracy yoyote ya iliyopelekea hali hii kutokea?.
Je kuna kemikali zozote katika bidhaa zinazowekwa kisirisiri kuwapunguza kasi wanaume?
Je Mionzi ya simu za mkononi iliotapakaa kila sehemu imepelekea hali hii?
Je haya maji ya kunywa ya chupa, zinazopigwa na jua kila siku hayapelekei tatizo hili?
Je hivi vyakula vinavyolimwa kwa madawa ya kuulia wadudu havipelekei tatizo hili?
Je Makuku ya kisasa tunayokula hayapelekei tatizo hili?
Hili tatizo mkuu limeanzia kwa wenzetu ulaya,hii tabia ya wanawake kukaa nusu uchi imechangia sana kuwapunguzia wanaume hamu ya hii kitu.Just imagine unapotoka nyumbani kwenda kwenye mihangaiko kwa wale wa mijini,unakutana na wanawake wangapi ambao sehemu zao za ndani zinaonekna?yaani mpaka unarudi nyumbani jioni hamu yote imekwisha.Sasa kwa mwezi,kwa mwaka unaona wangapi!
 
Junior member, kama hukuzaliwa na hilo tatizo, basi huna sababu ya kuhangaika, nitafute nikupe maelekezo au nikupeleke kwa mzee wangu, yeye amebobea katika haya mambo, utaweza kupata tiba tena kwa garama ndogo sana. wewe pamoja na wengine wenye tatizo kama hili, nitafute kupitia 0717 946614.

asante ndugu nitakucheki.
 
Ningependa kukuuliza maswali mawili kwanza tatizo lako ni nini..hajapata mtoto or unataka ustahimili kujamiiana kwa musa mrefu kama tatizo lako limo kwenye maswali hayo basi kwa jibu la swali la kwanza nenda hospital na partner wako ambaye mmekuwa mkijaribu kupata mtoto ndani ya mwaka 1,wote mtapimwa na tatizo litapatikana na utapimwa wingi wa mbegu zako,idadi,umbile na afya, kama tatizo lako lipo kwenye swali la pili kustahimili muda wa mapenzi cha msingi lazima uelewe hili swala ni psychology yako wakati wa tendo kama wewe hujatimiza miaka 50 lazima utambue hilo ila kama ni shida unaweza tumia dawa ambazo umeshaandikiwa kwenye post moja hapo juu la msingi uwe makini kwenye utumiaji.
 
fanya mazoezi. hata pushup tano huwezi unategemea kuwa na nguvvu za kiume?. pia hili suala limekuuzwa sana itafika kipindi watu watakuwa tayari kuua kwa sababu ya nguvu za kiume.
 
Lkn naomba niulize hivi ni zipi dalili ,ambazo zitanifanya nijitambue kuwa nguvu za kiume zimeniishia??,maana pengine yaweza kuwa ni hisia tu, baada ya kusikiA kwa watu mbalimbali kama mkuu alivyoelezea hapo juu.
 
Ningependa kukuuliza maswali mawili kwanza tatizo lako ni nini..hajapata mtoto or unataka ustahimili kujamiiana kwa musa mrefu kama tatizo lako limo kwenye maswali hayo basi kwa jibu la swali la kwanza nenda hospital na partner wako ambaye mmekuwa mkijaribu kupata mtoto ndani ya mwaka 1,wote mtapimwa na tatizo litapatikana na utapimwa wingi wa mbegu zako,idadi,umbile na afya, kama tatizo lako lipo kwenye swali la pili kustahimili muda wa mapenzi cha msingi lazima uelewe hili swala ni psychology yako wakati wa tendo kama wewe hujatimiza miaka 50 lazima utambue hilo ila kama ni shida unaweza tumia dawa ambazo umeshaandikiwa kwenye post moja hapo juu la msingi uwe makini kwenye utumiaji.

Nataka ustahml kwny kujamiiana ,,,,umri wng ni 30...
niwe makin kiaje??
 
Back
Top Bottom