steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Jamani muwe na tabia ya kupitia nyuzi mbalimbali za watabibu wa JF kama kina MziziMkavu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
Nataka ustahml kwny kujamiiana ,,,,umri wng ni 30...
niwe makin kiaje??
Lkn naomba niulize hivi ni zipi dalili ,ambazo zitanifanya nijitambue kuwa nguvu za kiume zimeniishia??,maana pengine yaweza kuwa ni hisia tu, baada ya kusikiA kwa watu mbalimbali kama mkuu alivyoelezea hapo juu.
KUNA MAMBO MENGI YANAYOCHANGIA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:-
(1)AINA YA VYAKULA UNAVYOKULA.
(2)UMRI MFANO KUANZIA MIAKA 30-39 UWEZO WA KUJAMIIANA HUPUNGUA NA BAADAE UKIFIKA MIAKA 41-49 UWEZO TENA HUONGEZEKA KAMA VILE NDO UMEBALEHE JANA!
KAMA MLETA THREAD UKO CHINI YA UMRI WA 30 ANZA KUJITATHMINI STYLE ZA MAISHA UNAYOISHI MF AINA ZA VYAKULA,MAZOEZI,ATHARI YA KISAIKOLOJIA.
TAHADHARI:KAMA UMRI NI CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE DAWA ZA KUONGEZA NGUVU UTAJIHARIBU!
N.B:Umri wangu ni miaka 46.Nikimkamata mtoto wa miaka 20 ambaye mathalani atakuwa sawa na binti yangu ataomba poo.fuata ushauri huo.
sidhani kama umejibu swali lake maana ametaka kujua nini hasa upungufu wa nguvu za kiume wewe umejibu sababu za nguvu kupungua. plz kama unajua vzur nisaidie kujibu maswali yangu hapo hapa chini naamini utatusaidia wengi.
hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini hasa?
usijekuta na mimi nina tatizo hili. je ni:-
1. kutokuwa na uwezo wa kusimamisha japo una
hamu ya kuhondomola?
2. kuwa na uwezo wa kusimamisha na
kuhondomola lkn huna uwezo wa kukojoa.
3. kuwa na uwezo wa kusimamisha na
kuhondomola lkn unakujua kidogo sana.
4. ukimaliza round ya kwanza basi ndo basi tena
huna uwezo wa kurejea kazini tena.
5. kumaliza round ya kwanza lkn round nyingine
unapiga mzigo bila kukojoa?
nini hasa?
Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiumeZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokuwa na uwezo wa kusimamisha ,au kusimamisha kidogo tu na dude kushindwa kustahimili na kulala fofofo hata linyonywe hali respond.
jambo hili lina tofauti na lile la upungufu wa mbegu za kiume.upungufu wa mbegu za kiume hauzuii uume kusimama! Inabidi ushangae kuwa upungufu wa nguvu za kiume hauzuii mbegu kutoka.Mbegu zikijaa mishipa ya uume usio na nguvu za kutosha itakaza kidogo na mbegu zitatoka! na uume utalala (Hapo mwanamke ataona umemchafua tu!) Ndugu ukiona unasimamisha muda mrefu unasugua lakini hukojoi huo ni upungufu wa mbegu na sio wa nguvu za kiume.
ANGALIZO:Wengi hudhani karanga mbichi huongeza nguvu za kiume la hasha ! hizo huongeza mbegu za kiume.
Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiumeZipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi na Stress.
9.kufanya kazi ngumu.
Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa.[h=1]Topic: Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake[/h]
Upunguvu wa Nguvu za Kiume ni ( ukimaliza round ya kwanza basi ndio basi tenamkuu mzizi mkavu, wengi hatujui hii kitu. hebu mwaga shule Tafadhali.
hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini hasa?
usijekuta na mimi nina tatizo hili. je ni:-
1. kutokuwa na uwezo wa kusimamisha japo una
hamu ya kuhondomola?
2. kuwa na uwezo wa kusimamisha na
kuhondomola lkn huna uwezo wa kukojoa.
3. kuwa na uwezo wa kusimamisha na
kuhondomola lkn unakujua kidogo sana.
4. ukimaliza round ya kwanza basi ndo basi tena
huna uwezo wa kurejea kazini tena.
5. kumaliza round ya kwanza lkn round nyingine
unapiga mzigo bila kukojoa?
nini hasa?
Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
afadhali umejibu swali. kwa hiyo nina mwezi sijapiga bao, nikikutana na wangu wa ukweli cha kwanza tu ile kuingia kunako majoto nakojoa fasta. ndo upungufu wa nguvu za kiume? goli la pili nakomaa hadi dk 10-15 ndo napiga bao nao upungufu? la tatu naweza piga hadi nikachoka na kuhisi nachubuka namua kuacha ndo upungufu wa mbegu?
Mkuu nicheki nahitJi dawa 0744527129mkuu naomba unitafute hapa 0712505049 gharama zangu ni elfu tano tu ukishindwa kupona nakurudishia zako zote nara saba zaidi hii ni juisi ya tangawizi inayotengenezwa kwa maelezo ya kitaalami toka kwangu
Ni permanent treatment au ntahitajika kurejea tena kila nkitaka kufanya?mkuu naomba unitafute hapa 0712505049 gharama zangu ni elfu tano tu ukishindwa kupona nakurudishia zako zote nara saba zaidi hii ni juisi ya tangawizi inayotengenezwa kwa maelezo ya kitaalami toka kwangu
Wanawake hawataki kujisitiri...eti wanataka uhuru.Hili tatizo mkuu limeanzia kwa wenzetu ulaya,hii tabia ya wanawake kukaa nusu uchi imechangia sana kuwapunguzia wanaume hamu ya hii kitu.Just imagine unapotoka nyumbani kwenda kwenye mihangaiko kwa wale wa mijini,unakutana na wanawake wangapi ambao sehemu zao za ndani zinaonekna?yaani mpaka unarudi nyumbani jioni hamu yote imekwisha.Sasa kwa mwezi,kwa mwaka unaona wangapi!