Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Jaman wanajamvi yan mi nikilala nakua kama nimekufa vile sasa huwa jambo hili linaniharibia mipango yng coz mi ni mwanafunzi nikisema cku nilale hlfu nishtuke ucku nijisomee hata nikitegesha alarm cwez kuamka yan siskii kabisaa otherwise rabda aje m2 kuniamsha So naombeni msaada wenu tafadhal