Dawa ya usingizi mkali(ulalafi)

Dawa ya usingizi mkali(ulalafi)

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Jaman wanajamvi yan mi nikilala nakua kama nimekufa vile sasa huwa jambo hili linaniharibia mipango yng coz mi ni mwanafunzi nikisema cku nilale hlfu nishtuke ucku nijisomee hata nikitegesha alarm cwez kuamka yan siskii kabisaa otherwise rabda aje m2 kuniamsha So naombeni msaada wenu tafadhal
 
Kabla ya kukushauri weka ratiba yako ya siku nzima hapa (Toka unapoamka asubuhi hadi unapoenda kulala usiku).
 
Back
Top Bottom