Dawa ya utando mweupe mdomoni kwa watoto

Dawa ya utando mweupe mdomoni kwa watoto

Joined
Dec 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Kuna mtoto anasumbuliwa na utando mweupu kama vidonda mdomoni na inasadikiwa ni hatari ukishafika mkunduni.
 
Mpeleke Hospitalini, pia unapoelezea tatizo jaribu kupunguza ukali wa maneno.
 
neno kali sana nilikuwa nasoma kwa sauti nilivyokaribia kumaliza sentensi nimepaliwa
 
Back
Top Bottom