mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
umeenda hospitali?Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita na nikaonekana salama ila ndo hivyo vidonda haviniishi.
Hapana ni michubuko tu nasikia lipsi zinauma kweli ila havionekaniumeenda hospitali?
vipoje hivyo vidonda....ni vya duara vinaweupe pembeni au ni vyekundu kama mchubuko?
Mimi huwa natumia Aloe vera, ile gel ya ndani napaka kwenye kidonda, kinakauka kwa mda mfupi sana.Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita na nikaonekana salama ila ndo hivyo vidonda haviniishi.