Dawa ya vidonda mdomoni

Dawa ya vidonda mdomoni

mysara2011

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
69
Reaction score
84
Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita na nikaonekana salama ila ndo hivyo vidonda haviniishi.
 
umeenda hospitali?

vipoje hivyo vidonda....ni vya duara vinaweupe pembeni au ni vyekundu kama mchubuko?
 
Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita na nikaonekana salama ila ndo hivyo vidonda haviniishi.
Mimi huwa natumia Aloe vera, ile gel ya ndani napaka kwenye kidonda, kinakauka kwa mda mfupi sana.
 
Back
Top Bottom