MKuu Habari yako?Mimi ninayo dawa ya kuponyesha maradhi ya vidonda vya tumbo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza shukran kwa yeyote atakayenijuza
Kila siku tunauliza dawa ila watu hawaleti mrejesho wa dawa walizotumia
MkuuuChukua unga wa mtama changanya na asali mbichi kisha lamba kutwa mara 3
Usisahau kuleta mrejesho