Sawa mkuuHakuna kitu
Watu watatu wa kwanza naomba niwatibu bureMmmh!
Asante, nipo mgonjwaWatu watatu wa kwanza naomba niwatibu bure
Tuwasiliane namna ya kupata dawa!Asante, nipo mgonjwa
Mkuu mimi nilikuwa na h pylori ila nimeenda kupima sasa nipo negative h pylori shida niliyobakiw nayo ni kiungulia(acid reflux) je hii unaweza nisaidiaHii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia.
Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu.
Bei ya dozi moja ni 30,000 usipo pona nenda kanishtaki.
Watu watatu wa kwanza kunitafuta nitawapatia bure dawa! Halafu wataleta mrejesho hapa.
Mawasiliano yangu 0695830863 nipigie.
Aaaah Manyama ndugu yangu!!!Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia.
Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu.
Bei ya dozi moja ni 30,000 usipo pona nenda kanishtaki.
Watu watatu wa kwanza kunitafuta nitawapatia bure dawa! Halafu wataleta mrejesho hapa.
Mawasiliano yangu 0695830863 nipigie.
πππAaaah Manyama ndugu yangu!!!
Naipataje hiyo dawa ndugu yako mie?
Nimehesabu, hesabu zangu zinaniambia nipo kwa tatu bora.
Asante sana , nitafika mahali hapoKAMA NI KWELI UMEKWENDA HOSPITAL UMETHIBITISHA KWA ENDOSCOPY AU ODD.
Achana na Mikojo achana na upumbavu wote, maji ya moto nk.
Mtafute mtu Aliyepo Tanga Wilaya ya Rushoto Kijiji cha Soni.
Kuna Mtaalam mmoja anaitwa Chakua Chakua amespecialise kwenye matibabu ya Tumbo na Hasa vidonda vya Tumbo.
Anapatikana sana Mnadani na ni mtu maarufu sana anapatikana siku ya Jumanne na Ijumaa If am not mistaken. Mimi nilipona kwa Msaada wake.
Kuna dawa ya 5000/=
Dawa ya Tsh 30000/=
UTACHAGUA MWENYEWE.
KUPANGA NI KUCHAGUA.
POLE MKUUMkuu mimi nilikuwa na h pylori ila nimeenda kupima sasa nipo negative h pylori shida niliyobakiw nayo ni kiungulia(acid reflux) je hii unaweza nisaidia
Mungu akuponyeAaaah Manyama ndugu yangu!!!
Naipataje hiyo dawa ndugu yako mie?
Nimehesabu, hesabu zangu zinaniambia nipo kwa tatu bora.
πNipe Mimi nikijaribu moja nitanunua tatu baada yakuona mrejesho WA hiyo ya Kwanza
Tuwasiliane mkuuAaaah Manyama ndugu yangu!!!
Naipataje hiyo dawa ndugu yako mie?
Nimehesabu, hesabu zangu zinaniambia nipo kwa tatu bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KAMA NI KWELI UMEKWENDA HOSPITAL UMETHIBITISHA KWA ENDOSCOPY AU ODD.