KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Sep 22, 2014 #1 Kwa wale wanaosumbuliwa na vipere vya ndevu baada ya kunyoa wanashauriwa kupaka mafuta ya TAA soon baada tu ya kunyoa na upere utapotea kabisa.WENGI IMEWASAIDIA JARIBU NA WEWE
Kwa wale wanaosumbuliwa na vipere vya ndevu baada ya kunyoa wanashauriwa kupaka mafuta ya TAA soon baada tu ya kunyoa na upere utapotea kabisa.WENGI IMEWASAIDIA JARIBU NA WEWE
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Sep 22, 2014 #2 dawa ni kutokunyoa tu....
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,651 Reaction score 1,127 Sep 22, 2014 #3 kama ni utani naomba futa huu uziwako kabla sijaenda jaribu
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Sep 26, 2014 Thread starter #4 TECHMAN said: kama ni utani naomba futa huu uziwako kabla sijaenda jaribu Click to expand... Si utani kabisa coz huwezi kuleta utani kwenye afya ya binadamu mwenzako
TECHMAN said: kama ni utani naomba futa huu uziwako kabla sijaenda jaribu Click to expand... Si utani kabisa coz huwezi kuleta utani kwenye afya ya binadamu mwenzako
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,319 Reaction score 3,097 Sep 26, 2014 #5 hii dawa kitambo sana nikiwa mdogo nlikuwa naona babu yangu akiitumia, nahisi ishapitwa na wakati na ukipaka harufu ya mafuta utaiondoaje
hii dawa kitambo sana nikiwa mdogo nlikuwa naona babu yangu akiitumia, nahisi ishapitwa na wakati na ukipaka harufu ya mafuta utaiondoaje
Sowo Senior Member Joined Jun 22, 2014 Posts 141 Reaction score 59 Sep 26, 2014 #6 KAGAME unatisha kama EBOLA mnaotaka kitengeneza vichiguu kidevuni jaribuni muone tumieni after shave na powder basi
KAGAME unatisha kama EBOLA mnaotaka kitengeneza vichiguu kidevuni jaribuni muone tumieni after shave na powder basi
wakalaoriflame Member Joined Aug 13, 2014 Posts 76 Reaction score 4 Sep 26, 2014 #7 Dawa ipo Oriflame jamani kwa 13,000/= tu, tatizo hilo litabaki historia kwako,piga 0655868643 ukihitaji
Dawa ipo Oriflame jamani kwa 13,000/= tu, tatizo hilo litabaki historia kwako,piga 0655868643 ukihitaji