Dawa ya vipere vya ndevu imepatikana

Dawa ya vipere vya ndevu imepatikana

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Kwa wale wanaosumbuliwa na vipere vya ndevu baada ya kunyoa wanashauriwa kupaka mafuta ya TAA soon baada tu ya kunyoa na upere utapotea kabisa.WENGI IMEWASAIDIA JARIBU NA WEWE
 
kama ni utani naomba futa huu uziwako kabla sijaenda jaribu
 
hii dawa kitambo sana nikiwa mdogo nlikuwa naona babu yangu akiitumia, nahisi ishapitwa na wakati na ukipaka harufu ya mafuta utaiondoaje
 
KAGAME unatisha kama EBOLA mnaotaka kitengeneza vichiguu kidevuni jaribuni muone tumieni after shave na powder basi
 
Dawa ipo Oriflame jamani kwa 13,000/= tu, tatizo hilo litabaki historia kwako,piga 0655868643 ukihitaji
 
Back
Top Bottom