Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

Kwa mwenye kutaka ipo na wale kina dada ambao waume zao wanamatatizo in box pls
Kamatia fursa mkuu. Vilaza wengi sana nchi hii.
Asikudanganye mtu dawa ya kuwa fiti kitandani ni mlo makini,maji ya kutosha na mazoezi kwa sana.
 
Kitu cha Congo kina madhara. Nilimsikia daktari mmoja anasema unapotumia ile kitu mishipa ya dushee inakuwa forced kutanuka ili damu ipite kwa wingi na kwa speed. Matokeo yake ukizoea sana kuna siku utakosa hisia kabisa na mashine haitakuwa ikisimama tena. Japo haijulikani hilo baa litakufika lini, ni bora kuepuka na kutafuta njia salama na natural za kulast long enough.

Hiyo raha unayopata sasa na kuonekana kidume (kukomaa 3 hrs) huko mbeleni mashine itakuja kuwa rojo kama mrenda na utaishia kuwa unawashikashika watoto wazuri huku ukilalama "enzi zangu buana, nilikuwa nomaaa"
Muda huo Kongo vumbi litakuwa limeisha?
 
Story za vumbi la Congo nowdays zina trend kuliko kawaida lkn cha ajabu sijawahi kulitia machoni ilo vumbi lenyewe bali naliskia in social media...!! Nina maswali kadhaa kwa watumiaji / washuhudiaji ama wauzaji...!!

1) Vumbi la kongo lina rangi gani?
2) Texture yake ikoje?
3) Ni kweli vumbi natural ama ni chemical za viwandani?
4) Lina effect gani kwenye dushe ? /Malengo yake mwilini hasa ni yapi
5) Matumizi yake yakoje?
6) Ni dawa ya kienyeji ama iko well packed?
7) Masharti ya matumizi yana husiana na matambiko ama ni kawaida tu kama unavyokula mikongoraa?
8) Ni kweli inatokea Congo/ asili yake ni kongo?
9) Wauzaji ama wasambazaji wa hili vumbi ni kina nani?

Majibu tafadhali, msiponijibu bhas itabidi nianzishe special thread kwa ufafanuzi zaidi.
Hili vumbi Wala halitoki Kongo.
Hili vumbi linatoka Morogoro.Pale Njia panda ya Mzumbe mbele kidogo kama unaenda Melela,kuna sehemu wanachoma nyama na Malori Huwa yanapaki hapo.Hapo utakuta wamefunga kwenye vifuko.Bei inarange buku mbili,tatu mpaka tano
 
vumbi la kongo ni nomaaa, jamaa wa ofisini kwetu alikuja nalo na akaopoa demu, jamaa anadai alipiga bao 13 hadi asubuhi, ila cha moto alikiona kwani anadai njaa ilimuuma kama mtoto na kesho yake alishindwa kwenda job kwa uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapigaje bao kumi na tatu Kwa usiku mmoja wakati bao moja mwakesha masaa?
 
Iyo kitu mm naiita mbwana samata atari sana Iyo naitumia kwa michepuko tu sio kwa mama yenu ndani
mkuu kama mama yetu hutumii ujue nao vijana wanatumia kwake,mchepuko wako mke wa mwezako,mchepuko wa mwezako mkeo.........
 
Kuna rafiki yangu juzi juzi alinipa dawa asili ya mti ni vumbi toka Kongo akaniambia nikifa faragha na mwenza wangu nichukue kidogo afu napaka na mate kwenye kichwa cha dushelele alafu naendelea na shughuli zangu.

Sasa ilifika wakati mwenza wangu tukaingia faragha yaani nilishangaa ile hali nilikua nasikia raha ya ajabu cha kushangaa sifiki kileleni mwenza kafika mara3 mimi bado ilichukua masaa 3 ndo napizi nilisikia kitu kinatoka mgongoni mpaka nilipiga kelele kwa utamu, nilihangaika kupata la pili halikutoka aisee.

Nataka kuuliza hivi linaweza kuwa na madhara?
Mambo vp mkubwa VUMBI
La Kongo nitalipataje mkuu
 
Marketing strategies,fasta PM imejaa!!!! ama kweli wanaume tuna shida.Wanawake mjiandae kisaikolojia si mmesikia masaa 3 hajap.........,mchubuko hapo ni 100%
 
mkuu kama mama yetu hutumii ujue nao vijana wanatumia kwake,mchepuko wako mke wa mwezako,mchepuko wa mwezako mkeo.........
Tena huyo mama yetu huenda na yeye anapita huku lazima alitafute hilo vumbi ili afaidi
 
Inaonekana watu wengi wanachangia ila hawalijui vumbi la Congo.
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, Butululu nk.
Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani nk. Hili ni vumbi linalotokana na mmea au mti ( yaweza kuwa mzizi au gome). Basi mti huo husagwa na kuwa unga yaani vumbi.
Matumizi yake ya asili ilikuwa ni kupaka kwenye uume wa mtu ambae anataka kutahiriwa ili kumpa ganzi asipate maumivu wakati anatahiriwa. Hii ni ganzi ya kienyeji iliyokuwa inatumiwa na Wakongo.
Ila kwa sasa matumizi yamehamishiwa kwenye sekta ya ngono. Hii ina maana kwamba dawa hii haiongezi nguvu za kiume. Ila inafanya uume kupata ganzi so wakati unatembeza mkunyenge ule utamu unaofanya umwage wazungu unazuiwa na ile ganzi.
So unaweza kumgegeda mlimbwende kwa muda mrefu bila kumwaga na kwa mwanaume usipomwaga mpini unaendelea kuwa imara kama simba.
So wanajamvi kwa kifupi hiyo ndo vumbi na matumizi yake ni kama ifuatavyo, unaweka matone 2 ya maji au mate au mafuta kidogo kwenye kiganja then unachanganya na vumbi kidogo then upaka kwenye uume kwa kuchua au kusugua. Unaweza kupaka asubuhi then ukaufunga uume kwa nylon una acha tundu la kukojolea, utakaa umefunga mpaka jiono au usiku. Ukifika muda wa kugegeda unafungua na kusafisha then unagegeda kiroho safi kabisa.
Nadhani nimeeleweka kwaherini.
 
Hata mimi ninayo vumbi balaaaaa....lazima shetani ataje jina
 
wanaotaka hilo Vumbi natoa bureee,, ila uwe mkoa ambao mie nipo,,

nakupa kipimo cha robo kisoda,,,

sharti uwe umeoa,, kwa bachela mtanisamehe
 
Inaonekana watu wengi wanachangia ila hawalijui vumbi la Congo.
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, Butululu nk.
Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani nk. Hili ni vumbi linalotokana na mmea au mti ( yaweza kuwa mzizi au gome). Basi mti huo husagwa na kuwa unga yaani vumbi.
Matumizi yake ya asili ilikuwa ni kupaka kwenye uume wa mtu ambae anataka kutahiriwa ili kumpa ganzi asipate maumivu wakati anatahiriwa. Hii ni ganzi ya kienyeji iliyokuwa inatumiwa na Wakongo.
Ila kwa sasa matumizi yamehamishiwa kwenye sekta ya ngono. Hii ina maana kwamba dawa hii haiongezi nguvu za kiume. Ila inafanya uume kupata ganzi so wakati unatembeza mkunyenge ule utamu unaofanya umwage wazungu unazuiwa na ile ganzi.
So unaweza kumgegeda mlimbwende kwa muda mrefu bila kumwaga na kwa mwanaume usipomwaga mpini unaendelea kuwa imara kama simba.
So wanajamvi kwa kifupi hiyo ndo vumbi na matumizi yake ni kama ifuatavyo, unaweka matone 2 ya maji au mate au mafuta kidogo kwenye kiganja then unachanganya na vumbi kidogo then upaka kwenye uume kwa kuchua au kusugua. Unaweza kupaka asubuhi then ukaufunga uume kwa nylon una acha tundu la kukojolea, utakaa umefunga mpaka jiono au usiku. Ukifika muda wa kugegeda unafungua na kusafisha then unagegeda kiroho safi kabisa.
Nadhani nimeeleweka kwaherini.
Mkuu nitaipata wapi hiyo kitu..nipo dsm..
 
Back
Top Bottom