Dawa za ARVs zathibitika kuzuia maambukizi ya Virus Vya Ukimwi!!

Hey, hey, hey... Wote sio watoto hapa..!!!:A S-frusty:.

Wake up..!! Wazungu wanatamani sana hili bara la Africa kutokana na rasilimali zake. Wanataka kuwamaliza hao, wachukue jumla jumla..

that's speculations....weka hoja yako ili tuamini maana tunazungumzia utafiti sio propaganda za kisiasa.
 
Dotto Athumani huwa unaaminije habari?
Mf- emperical methord?
-imani,
-mazoea
-scientific methord, you have engaged fully in the reseach
 

Jamani hebu tuambieni vizuri mbona mnaturusha roho, dawa ipo au hamna mmh??:A S embarassed:
 
BBC world service,leo wamelaani kitendo cha baadhi ya shule tanzania kuwashonea waathirika wanafunzi sticker nyekundu kwenye mashati yao ili wajulikane kirahisi wasipewe kazi ngumu- hii imekaaje ni kweli???
 
Mwanafunzi wa Kibaha primary School,akiwa na sticker nyekundu-kuashiria kama ana ukimwi-hii naona is only possible in tanzania-
 
Mimi naomba wafrika tuchukue tahadhari sana.Taasisi zipi katika nchi za kiafrika zilihusishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…