Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili sahihi ni "hali" sio hariHabarini wakuu! Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.Natanguliza shukurani.
nasikia kutafuna vitunguu swaum ni dawa.
Habarini wakuu!
Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.
Natanguliza shukurani.
Pole sana knywa viroba vingi sana na bngi ya kutosha thn tingishia na safari ya moto kila cku.
Pole sana tafuta Mayai ya Kwale ule yatakusaidia sana maana yana vitamini vingi sana