Dawa za asili za kuongeza mbegu za kiume

Dawa za asili za kuongeza mbegu za kiume

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habarini wakuu!
Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.
Natanguliza shukurani.
 
natangaza interest kwenye hii mada....msaada kwa wahusika please...
 
Mkuu huna mbegu?? Wanakusaidia saiv tena kashajua!
 
Habarini wakuu! Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.Natanguliza shukurani.
Kiswahili sahihi ni "hali" sio hari
 
Kwa kuwa inaonesha tatizo lako ni la muda mrefu, kuanzia leo uwe unatafuna mchele mkavu vijiko vitano vya Chakula masaa matatu kabla hujakutana kimwili na mwanamke kila unapotaka kufanya tendo hilo.
 
nasikia kutafuna vitunguu swaum ni dawa.

Tafuna vitunguu swaumu punje kumi, kijiko kimoja cha samli kunywa na kula nyanya chungu ,asubuhi na jioni kwa siku saba, ndo dozi., baada ya hapo leta mrejesho.
 
mkuu kula karanga kwa wingi coz sperm ni protein in nature so karanga zinaongoza kuwa na protein kwa wingi kwa hiyo kitendo cha kula kwa wingi kinafanya uongeze uwingi wa protein
 
Pole sana tafuta Mayai ya Kwale ule yatakusaidia sana maana yana vitamini vingi sana
 
Mayai ya Kware ni dawa ya vitu vingi pamoja na hilo pia. Nitafute ukiyahitaji 0713 226701
 
HERE ARE SOME OF THE HEALTH BENEFITS OF EATING QUAIL EGGS FOR ALL AGE GROUPS
1. Source of vitamins A, B1, B2, B6, B12 and vitamin D. Plus iron, magnesium, zinc and copper.
2. Helps acquires strong immune system and improve metabolism
3. Helps in healing gastritis and ulcers
4. Increase haomoglobin level and remove toxins from body
5. Treatment of tb and asthma
6. Helps inhibit cancerous growth
7. Eliminate and remove stones from liver, kidneys and bladder.
8. Stimulates intellectual activity
9. Accelerates recuperation after stroke and strengthen heart muscle
10. Stimulation of intimate potency
11. Nourishes prostate gland
12. Treat heart disease
13. Treat nervous system
14. Beneficial for physical ans metal balance of foetus for pregnant women
15. Improves cd4 (240 eggs per dose) for hiv aids patients.
 
Habarini wakuu!
Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.
Natanguliza shukurani.

Kwanza umejuaje kama unatoa idadi kidogo? je hicho kiasi kidogo ni kwa raundi moja, au match nzima, au tangu uanze hii biashara, au mwanzo ulikuwa unatoa nyingi halafu zikaanza kupungua? kama mwanzo zilikuwa nyingi halafu zikaanza kupungua tafuta sababu. Kula chakula bora na protein kwa wingi pamoja fat inaypatikana kwenye karanga, korosho, na nuts nyingine kwa ubora wa mbegu.

Shida hako hasa ni nini? unataka utoe nyingi ili iweje? au kuna mtu au wewe mwenyewe unafikiri wingi wa kamasi ndio ukubwa wa pua = wingi wa mbegu ndio kutunga mimba kama hii ndio issue yako? kama issue ni kutunga mimba, ambatana na mwenzio mpaka kwa daktari wa masuala hayo.
 
Pole sana knywa viroba vingi sana na bngi ya kutosha thn tingishia na safari ya moto kila cku.
 
pole sana

naomba nikujuze aya mwanaume anatakiwa kuzalisha sperm mil 50- 160 ili aweze kuzalisha mwanamke tatizo la mwamaume kuto produce sperm lina itwa sperm vitality yan concentration ya sperm ina kuwa ndogo sasa tatizo hili linaweza kusabishwa na tez dume ambyo inaitwa prostate gland......prostate gland husaidia kuzalisha fluid iitwayo semen ambayo husaidia kusafirisha mbegu kwenda kwa mwanamke ambapo pia ina facilitate production ya sperm kwenye korodani pia inawezekana ni vyakula unavyo tumia


ukitaka msaada zaidi na ufafanuz pia na dawa ni tafute kwa namb 0765650028 whatsaap au nipigie
 
Kula karanga mbichi kwa wiki moja kabla ya mechi,utakuwa unajaza kikombe cha kahawa.
 
Back
Top Bottom