Dawa za kisunnah zinazolefusha nywele

Dawa za kisunnah zinazolefusha nywele

Shinoyankela

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Jaman kwa yyt anayejua dawa za kisuna zinazorefusha nyele anitajie au anielekeze dawa yyte ya kienyej inayorefusha nywele
 
Jaman kwa yyt anayejua dawa za kisuna zinazorefusha nyele anitajie au anielekeze dawa yyte ya kienyej inayorefusha nywele
Unajua mmea wa ALOVERA???? Kata kama majani yake mawili au matatu - saga kwenye blennder - halafu osha nywele zako ziwe safi - paka maji maji ya alovera ulioysaga - vaa cap yako na funga towel juu yake. - Stay for half an hour - Halafu osha vizuri. Paka mafuta unayotumia kwenye ngozi na suka - rudia tena kila mara unapofumua nywele zako.

Ukifanya hivyo frequently - nywele zako zitakuwa, zitakuwa strong
 
Attachments

  • edb70b88e863bea77599a0bb4d40814636c2a55701b0fcc9bc30f02ec3a8ef1e8d28c69c812bbf9a87bcca75a2d9dfab.jpg
    edb70b88e863bea77599a0bb4d40814636c2a55701b0fcc9bc30f02ec3a8ef1e8d28c69c812bbf9a87bcca75a2d9dfab.jpg
    7.5 KB · Views: 1,680
Unajua mmea wa ALOVERA???? Kata kama majani yake mawili au matatu - saga kwenye blennder - halafu osha nywele zako ziwe safi - paka maji maji ya alovera ulioysaga - vaa cap yako na funga towel juu yake. - Stay for half an hour - Halafu osha vizuri. Paka mafuta unayotumia kwenye ngozi na suka - rudia tena kila mara unapofumua nywele zako.

Ukifanya hivyo frequently - nywele zako zitakuwa, zitakuwa strong

Hiyo pia ni dawa nzuri pia kwa dandruff...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Healthy n strong hair pia anategemea na milo yako kama vyakula vya protein pia ni vizuri kwa hair growth....

Tumia mayonaise + honey + kiini cha yai changanya vizuri....

Tumia avocado pia lina protein ya kutosha pia mafuta yake 80% yanafanana na mafuta yetu ya mwilini...

Osha nywele zako kwa shampoo then pakaa kwa muda wa nusu saa then osha....

Kama nywele zako ni dry jaribu kutumia mafuta mazuri ya asali kama moisturizer yako kama vile mafuta ya zaituni au ya nazi...

Tumia hair product kutokana na aina ya nywele zako....

Kama una nywele za mafuta yaani ngozi ya kichwa yenye mafuta mengi basi osha kwa shampoo mara mbili kwa wiki....

Kama dry hair (nywele za kiafrica nyingi ni dry) epuka kutumia shampoo zenye sulphate sana mana zinaondoa natural oil katika scalp....

Ila kuna mtu apo amekwambia kusuka yeah inasaidia sana mie pia imenisaidia nlikua na nywele ndefu sana zikakatika kwa kutumia wrong products ila nlisuka 2 month tu zimerudi now zipo naturally n healthy epuka kutumia madawa haya yanaharibu sana....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom