Dawa za ku boost uzazi

Dawa za ku boost uzazi

Uujn2

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
105
Reaction score
142
Amani iwe nanyi...

Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!

Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.
 
Zinasaidia Kama Una mchango Dawa za kienyeji zipo Ila ufanisi ni 70-80%
 
kama unahisi unatatizo my friend nenda kapime alasivyo utabugia dawa mpk uone gizagiza!
 
Amani iwe nanyi...

Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!

Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.

Magonjwa ya uzazi (fertility) yapo mengi sana ndugu, na yana specific treatments ndio maana kuna specialization na kuwa bingwa unakaa darasani miaka ya kutosha kuyasoma mojamoja. Dawa za kienyeji utaambiwa miti shamba inatibu kila ugonjwa unajirisk sana! Hapa umetaja PID na Fungus kwa mfano, haya sio magonjwa ya uzazi bali ni maambukizi ya njia ya uzazi yani ni Sexually transmitted diseases (STI's) ambayo unayapata kwa ngono lkn yanaweza kusababisha magonjwa ya uzazi (fertlity diseases) kama hayatatibiwa kikamilifu. UTI ni Urinary Tract infections, yani maambukizi ya njia ya mkojo ambayo hili sio gonjwa la uzazi wala la ngono, hili linatokana na uchafu wa huko chini na hasa linawapata wamama, wanaume wengi ukiambiwa una UTI ni kwamba either unaibiwa au unadanganywa hujapimwa, kimsingi ni ndra sana kwa mwanaume kupata UTI, na wamama wanapata sio kwa ngono bali ni kwa kujisafisha toka nyuma kwenda mbele wanapojisaidia haja kubwa. Yani wanatumia tissue kujifuta wakivuta mbele so wanachukua haja kubwa kuingiza kwnye K, wanaingiza bacteria ambao wanazaliana na kuunda infection mbeleni.

Ushauri sasa hivi kuna fertilty clinic ya serikali pale MNH kama upo Dar (zamani ilikuwepo moja ya private na gharama yake ni kubwa sana) nenda ukapimwe na watajua specific problem na utashauriwa cha kufanya. Achana na mitishamba
 
Amani iwe nanyi...

Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!

Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.

PID (Pelvic Inflammatory Disease) , inaweza sababisha ugumu kupata mimba au mtoto huku Fungus ikiwa ni matokeo yake ya inflammation, UTI pia maana mwili unakuwa hauna uwezo kupambana na bakteria , hivyo haya matatizo yanaweza kuwa yanakuwa yakijirudia

Xianhe Natural System Knowledge:
Tunaangalia mwili unasemaje ( Symptoms) , ili kutupa picha ya kile kinachooendelea mwilini ,
Iwe ni Virus au bakteria , mwili utaonesha dalili kuonesha aina ya sumu iliyoko na athari iliyosababisha , hivyo kutuwezesha sisi kutibu kulingana na tatizo lililopo

Hivyo basi ni muhimu kufanya diagnosis kwenye Mifumo yetu , ili tuweze toa tiba stahiki

Hakuna lisilowezekana maana mwili haudanganyi ( Spirit) .

Wasiliana nasi tutakutibu na kumaliza shida yako na utapata watoto !

Cont: +255757577995 / +255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
IMG_2276.jpg
 
Madhara ya kukaanga mayai na P2 pamoja na Abortion haiwezi acha mtu salama.
NB: haina uhusiano na uzi huu.
 
Back
Top Bottom