Amani iwe nanyi...
Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!
Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.
AsanteZinasaidia Kama Una mchango Dawa za kienyeji zipo Ila ufanisi ni 70-80%
Nimeshapima tayari...!kama unahisi unatatizo my friend nenda kapime alasivyo utabugia dawa mpk uone gizagiza!
Amani iwe nanyi...
Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!
Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.
Amani iwe nanyi...
Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI na mengine kemkem!
Ninachoomba kujua kuna mtu amewahi kutumia na zikamsaidia?!
Asante.
yakawaje majibuNimeshapima tayari...!
https://www.facebook.com/Amani iwe nanyi...