Wewe yako umekuza??
nipo kwenye daladala nasikiliza kuhusu madawa ya kuongeza makalio na matiti.wadada wanasema sababu ya kutumia hizo dawa ni wanaume wanapenda hayo maumbile makubwa,imefikia hatua sasa nguo za ndani nazo zinawekwa masiponchi ili kuonekana na figer la maana!!kazi kwetu wanaume ndo maana nashangaa darlisalam kila mwanamke unayemuona kajaliwa lishepu mbona mkoa sio kihivyoooo!
Mwanamke sura makalio hata kwa mchina yanapatikana AT WORK
mchelemchele kakuze wewe itakufaa
Dah! Wanaume wa Dar mnakazi kweli mpaka mje mpate binti mrembo wa asili mtasota sana...... Eli yetu sisi wavijijini huku hayo mamichina hamnaga kitu nachuro kuanzia nywele hadi ukucha... LOL!
Sio siri kalio lina nafasi yake bwana. Hata mdada akipita mnabaki mnapiga angle of depression, akilitikisha unaweza kujihisi ni Alfred Wegener ndani ya theory of continental drift.
Wewe una kipi kati ya hivyo?
Mwanamke sura makalio hata kwa mchina yanapatikana AT WORK