Dawa za kukuza makalio

Dawa za kukuza makalio

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
3,287
Reaction score
944
Nipo kwenye daladala nasikiliza kuhusu madawa ya kuongeza makalio na matiti.Wadada wanasema sababu ya kutumia hizo dawa ni wanaume wanapenda hayo maumbile makubwa,imefikia hatua sasa nguo za ndani nazo zinawekwa masiponchi ili kuonekana na figer la maana!!kazi kwetu wanaume ndo maana nashangaa darlisalam kila mwanamke unayemuona kajaliwa lishepu mbona mkoa sio kihivyoooo!
 
nipo kwenye daladala nasikiliza kuhusu madawa ya kuongeza makalio na matiti.wadada wanasema sababu ya kutumia hizo dawa ni wanaume wanapenda hayo maumbile makubwa,imefikia hatua sasa nguo za ndani nazo zinawekwa masiponchi ili kuonekana na figer la maana!!kazi kwetu wanaume ndo maana nashangaa darlisalam kila mwanamke unayemuona kajaliwa lishepu mbona mkoa sio kihivyoooo!

wajinga hao hawajiamini,wamekuwa ngono oriented.
 
makalio siyo ishu kihivyo, kinachotakiwa kwa mwanamke ni kujiheshimu katika jamii,
 
Dah! Wanaume wa Dar mnakazi kweli mpaka mje mpate binti mrembo wa asili mtasota sana...... Eli yetu sisi wavijijini huku hayo mamichina hamnaga kitu nachuro kuanzia nywele hadi ukucha... LOL!
 
Sio siri kalio lina nafasi yake bwana. Hata mdada akipita mnabaki mnapiga angle of depression, akilitikisha unaweza kujihisi ni Alfred Wegener ndani ya theory of continental drift.
 
Dah! Wanaume wa Dar mnakazi kweli mpaka mje mpate binti mrembo wa asili mtasota sana...... Eli yetu sisi wavijijini huku hayo mamichina hamnaga kitu nachuro kuanzia nywele hadi ukucha... LOL!

Maweee, kaisiki nkwenda muno.
 
Sio siri kalio lina nafasi yake bwana. Hata mdada akipita mnabaki mnapiga angle of depression, akilitikisha unaweza kujihisi ni Alfred Wegener ndani ya theory of continental drift.

acha kabisa linahusika likipita lina tingishika savannah!redds!savannah!redds!lazima uhamasike aiseee!
 
ili mradi nina yakukalia waacheni tu watumie .unakuta mwanamke ---- moja refu ka papai lingine fupi loh
 
ili mradi nina yakukalia waacheni tu watumie .unakuta mwanamke ---- moja refu ka papai lingine fupi loh
 
Back
Top Bottom