Dawa za kukuza makalio

Dawa za kukuza makalio

Ndio maana wengi wao wanatoa ndogo sababu makalio yao yanahamasisha kutumiwa /gawa tigo zao??
 
Nipo kwenye daladala nasikiliza kuhusu madawa ya kuongeza makalio na matiti.Wadada wanasema sababu ya kutumia hizo dawa ni wanaume wanapenda hayo maumbile makubwa,imefikia hatua sasa nguo za ndani nazo zinawekwa masiponchi ili kuonekana na figer la maana!!kazi kwetu wanaume ndo maana nashangaa darlisalam kila mwanamke unayemuona kajaliwa lishepu mbona mkoa sio kihivyoooo!

Ni matatizo ya kutokuona mbali
 
jamani inyaa ndo habari tupona cheki soka kuna mdada kaingia hapa kajaliwa watu masharahaa
 
Huyo jamaa nilimsikia anavyonadi biashara yake,eti unapaka kama unafanya massage ndani ya wiki mbili unapata shepu unayotaka,mtangazaji akamuuliza je akitaka kupungua akajibu zipo unaslim tu kwa kupaka za kusilimisha!kwa mwendo huu kansa lazima zizidi,mwili unaumuka kama andazi
 
Kama ni hivyo mtaishia pabaya, hivi unadhani Mungu alikosea kukuumba hadi kufikia hatua hiyo ya kuongeza ------, Mtalia na kusaga meno siku ya mwisho.
 
Mbona wanaume nao wanatafuta dawa ya kuongeza KITU kiwe cha KUFA MTU hahahaha
 
Back
Top Bottom