Dawa za kulevya na Zanzibar, huyu member alisema, wakongwe mnakumbuka?

Dawa za kulevya na Zanzibar, huyu member alisema, wakongwe mnakumbuka?

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Sikumbuki yule member alikua anaitwa nani? Iko hivi HUYU member ni WA shinyanga alienda zenji KUTAFUTA MAISHA, miaka hiyo ZAMANI SANA, alikua anafanya KAZI KWA wahindi.

SIKU MOJA alifuatwa na MMOJA WA wahindi akamwambia ANATAKA afanye NAYE KAZI, AMPE MAISHA Yani HUYO member awe anafuata SAA India, analeta Zanzibar kuuza. Huyu member akajisemea yes, nimeulaa, HAYA si NDO MAISHA Sasa.

Basi BHANA JAMA akakubali ila baadae ALIPO fatilia SANA akagundua kumbe haikua SAA kama alivo AMBIWA ilikua ni INSHU ya dawa za KULEVYA, ANADAI, KWAMBA don WA hiyo biashara ni MTU MKUBWA SERIKALI ya zenji na bara miaka hiyo ZAMANI SANA, TENA akishuka airport hakakaguliwi anapita TU ni wale vibopa hasa, JAMAA AKAOGOPA IKABIDI aombe MSAADA kwao wakamtumia NAULI na KUKIMBIA MANA ilikua Isha kua Soo Hadi Leo hajarudi zenji.

Kwa bahati mbaya hakumsema HUYO kibopa ni nani, ye ALIDAI ni mwanasiasa MKUBWA bara na visiwani TENA akishuka airport hakaguliwi, kama BADO YUPO pengine angekujaga kutupa JINA HATA KWA code TU, JAMAA ALIGOMA kumtaja, KWA hofu nadhani.
 
Back
Top Bottom