Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Simon sirro Nyakoro alikosa Sapoti kutoka juu sasa watacheza Acapella(mziki bila vyombo)
Hawamjui huyoo jamaa waje mwanza tuwape story ya sirro is very Smart na maamuzi na kazi yake namkubali sana mwanza ilinyooka sema wakuu ndio wanamzingua
 
- Huu ni Mwaka wa Mafuraha furaha sana U know tunakura maisha tu U know and I lov it

le Mutuz
IMG_20170102_161619.jpg
Hahaha! Le Mutuz big person
 

MH. PAUL MAKONDA

Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao

Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha

Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka

Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu

Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha

Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli
Like nyingi sana.
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Hivi Wema alikuwa mtoto wa kiongozi gani vile mkuu.
 
hahaaahahaaa hii muvi inazidi kunogaaa.....naomba na wanachama wa CHAPUTA wakamatwe........natania
 
Kwa lugha nyepesi wema amekubali kuwa ni mkosaji ndio maana anawataja na wenzie
 
Kwa lugha nyepesi wema amekubali kuwa ni mkosaji ndio maana anawataja na wenzie

Acha Ujinga Kijana, Hekima Si Kipaji Ni Kuruhusu Ubongo Kufikiri Kwa Mapana Zaidi
 
Tukitaka kumaliza makando kando nchi hii, Magufuli akubali lets reverse katiba mpya, tukubali mapendekezo ya tume ya warioba. Tutengeneze system ambayo badala ya watawala kutugeuza kama chapati, katiba iwe inamuongoza mtawala afanye nini na asifanye nini. Zaidi ya hapo tunaendelea na uonevu na ukandamizaji wa wale ambao tunawaona ni maadui zetu kwa chuki zetu binafsi. Hivi jiulize, kama ni kweli MAsogange anatoka na Makonda, na amempangishia nyumba Makongo. Na Masogange ni mhusika wa madawa ya kulevya, ni kwa vipi Makonda ataweza kukwepa double standards? Angalizo: Simtetei Wema kwa vyovyote vile. Kiongozi wa umma lazima uwe na dhamiri safi, usiwe na tuhuma. Kama tunamtetea Makonda kwa sababu hoja ya Wema dhidi ya Makonda haina ushahidi, je, ya Makonda dhidi ya Wema ina ushahidi? Lets wait and see
 
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-

1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.

2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .

3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.

4. Anataja na mateja wengine "Agness".

5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.

a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.

Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?

Pole kwa Watanzania wote!
Anasema kile Watanzania wanataka kusikia. Angalia hii thread inavyokimbia!
Ninakubaliana na wewe inabidi afanye vitu vitakavyo msahidia kwenye kesi yake zaidi ya kutafuta wafuasi wa kwenye mitandao!
 
All i know is Masogange alichukua uraia wa S.Africa na akaolewa bondeni...je amerudi lini TZ?
 
Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
Birds of a feather flock together
 
Huyu binti alikua anatafutwa tuu aingiee kwenye kumi na nane wamtengue kiuno' kile kitendo cha kufanya vile VIGOMA kuambatana na vijana wa mjini (mashoga) watu walikua wanamtaftia tuu kumi na nane maaana alikua anaonekana yeye ndio sponser wa zile show na sponser wa mashoga
 
Back
Top Bottom