The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
Hawamjui huyoo jamaa waje mwanza tuwape story ya sirro is very Smart na maamuzi na kazi yake namkubali sana mwanza ilinyooka sema wakuu ndio wanamzinguaSimon sirro Nyakoro alikosa Sapoti kutoka juu sasa watacheza Acapella(mziki bila vyombo)
Hahaha! Le Mutuz big person- Huu ni Mwaka wa Mafuraha furaha sana U know tunakura maisha tu U know and I lov it
le Mutuz
Wema,Kasema kile anacho kiamini, niambie kauli gani inayoonyesha kua kamdhalilisha?Unasemaje we sho.ga,,,,maana WEMA anawafuga pale kwake ununio kunduchi,lazima umtetee
Like nyingi sana.
MH. PAUL MAKONDA
Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao
Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha
Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka
Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu
Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha
Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli
Hivi Wema alikuwa mtoto wa kiongozi gani vile mkuu.Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Yeah kwanza hata kiwango cha elimu yake namashaka nacho...kasangezi001 umenisaidia mkuu kunijibia huyo bwana mdogo (kutokana na reply yake ya post namwita dogo) nimeandika mara 2 namtafutia jibu ila naishia kufuta tu.
Ikishakuwa polisi au mahakamani?Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Wema hajawahi kamatwa hata na dona,kamtaja huyo kwa sbb alikamatwa SA,akiwa na mzigo mkubwa sana.Kwa lugha nyepesi wema amekubali kuwa ni mkosaji ndio maana anawataja na wenzie
Kwa lugha nyepesi wema amekubali kuwa ni mkosaji ndio maana anawataja na wenzie
Anasema kile Watanzania wanataka kusikia. Angalia hii thread inavyokimbia!Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Mbona unageuka... Si kuna uzi unamlaumu kajala na wenzie kukaa kimya??Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Birds of a feather flock togetherBasi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together