Maana Humu kila mtu TISS Tankx..Ahsante kwa taarifa
je akipatikana aliye mrekodi na kutoa ushahidi kuwa aliye mrekodi ni wema hapo napo atachomoka??Hiyo audio clip ndiyo impe kesi? Labda kama hatapata fair judgement. Lakini, kama mambo yataenda kwa kuzingatia taratibu za mahakama, kesi nyepesi sana hiyo. Utaprove vipi huyo anayeongea ni Wema? Sauti? Kama ipo doctored? Hakuna kesi hapo....
mkuu mi nime angalia you tube baadae nikaenda history nikafuta kabisa you tube history kwenye simu yangu .Wenye simu za kufunga mapira kazi ipo nasikia audio itamtokea puani,mara ooh masogange hata sielewi kabisa duuh ngoja nichaji tena nitarudu
Bado itakuwa vigumu ku-prove without reasonable doubt. Ushahidi wa ki-electronic, tena wa audio ni mgumu sana ku-prove without reasonable doubt. Maana hata aliyemrekodi akisema, hapo itakuwa ni aliyemrekodi against Wema! Kwanini huyo aliyemrekodi aaminiwe? Ana ushahidi gani kuwa yeye ndiye aliyemrekodi na aliyerekodiwa ni Wema? Wakili yeyote mzuri anashinda hapo. Ingekuwa ni audio-visual, hapo pangekuwa pagumu!je akipatikana aliye mrekodi na kutoa ushahidi kuwa aliye mrekodi ni wema hapo napo atachomoka??
Kitu nachoweza kukwambia mkuu your old school in technology kwakweliBado itakuwa vigumu ku-prove without reasonable doubt. Ushahidi wa ki-electronic, tena wa audio ni mgumu sana ku-prove without reasonable doubt. Maana hata aliyemrekodi akisema, hapo itakuwa ni aliyemrekodi against Wema! Kwanini huyo aliyemrekodi aaminiwe? Ana ushahidi gani kuwa yeye ndiye aliyemrekodi na aliyerekodiwa ni Wema? Wakili yeyote mzuri anashinda hapo. Ingekuwa ni audio-visual, hapo pangekuwa pagumu!
How can you prove beyond reasonable doubt kwamba huyo aliyerekodiwa ni Wema? Kuna any precedences kwa Tanzania ku-back up your claim?Kitu nachoweza kukwambia mkuu your old school in technology kwakweli
Jaribu record uone
Halfu usitake kutudanganya kitoto, kwanza inabidi ujue maana ya Shemela, hlfu hiyo video ni ya snap chat, sio raisi kwamb MH aliitupia kwenye story yake, think outside the box kwnz
Well said mkuu. Makonda achia hao vijana, hii kazi viachie vyombo vya usalama wao wana utaalam zaidi. Acheni kuonea watu, kisa mnapata support ya mkuu.MH. PAUL MAKONDA
Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao
Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha
Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka
Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu
Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha
Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli