Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Hiyo audio clip ndiyo impe kesi? Labda kama hatapata fair judgement. Lakini, kama mambo yataenda kwa kuzingatia taratibu za mahakama, kesi nyepesi sana hiyo. Utaprove vipi huyo anayeongea ni Wema? Sauti? Kama ipo doctored? Hakuna kesi hapo....
 
je akipatikana aliye mrekodi na kutoa ushahidi kuwa aliye mrekodi ni wema hapo napo atachomoka??
 
Wenye simu za kufunga mapira kazi ipo nasikia audio itamtokea puani,mara ooh masogange hata sielewi kabisa duuh ngoja nichaji tena nitarudu
mkuu mi nime angalia you tube baadae nikaenda history nikafuta kabisa you tube history kwenye simu yangu .

Hawakawiii kusema na wale walio angalia kwenye you tube mnakamatwa .

Utii wa sheria bila shuruti

"Ukipokea ujumbe wa matusi futa kabisa ""
 
je akipatikana aliye mrekodi na kutoa ushahidi kuwa aliye mrekodi ni wema hapo napo atachomoka??
Bado itakuwa vigumu ku-prove without reasonable doubt. Ushahidi wa ki-electronic, tena wa audio ni mgumu sana ku-prove without reasonable doubt. Maana hata aliyemrekodi akisema, hapo itakuwa ni aliyemrekodi against Wema! Kwanini huyo aliyemrekodi aaminiwe? Ana ushahidi gani kuwa yeye ndiye aliyemrekodi na aliyerekodiwa ni Wema? Wakili yeyote mzuri anashinda hapo. Ingekuwa ni audio-visual, hapo pangekuwa pagumu!
 
Kitu nachoweza kukwambia mkuu your old school in technology kwakweli

Jaribu record uone
 
Wadau kwa heshima na taadhima naombeni kujua sauti ya mtu anaeita "Aggie njoo" na jina la huyu mrembo aisee wakubwa wanafaidi sana dah!
 
Attachments

Halfu usitake kutudanganya kitoto, kwanza inabidi ujue maana ya Shemela, hlfu hiyo video ni ya snap chat, sio raisi kwamb MH aliitupia kwenye story yake, think outside the box kwnz
 
Naona huyu Mwanamke anachanganyikiwa Yaani anajipa kesi Mara Mbili... Analeta Mambo ya Kiswahili kwenye Sheria..

Unajua unaporopoka mbele za Watu jua kuwa umejiamini km Tindu lissu kwanza Ndo uropoke.. hapo Tayari Ana kesi ya Kumtuhumu na kumdharirisha RC makonda na Pia Agnes Masogange.. kama Huna ushahidi Wa Kutosha haki ya nani Kama ulikuwa unaenda samehewa Wa Tuhuma za Madawa basi sahau unaenda kuwa chakula Cha Mafande...

Unaleta Vita na Agnes Aliyebeba Unga Akapita Airport Na Bado Tukaambiwa Si Madawa ya kulevya. unadhan ulivyoropoka RC anatembea Naye Ndo Utapata ushahidi wa kutosha ... Labda Uwe na Video za Kutosha Kwenye Makablasha yako upeleke mahakama...

MAMBO MENGINE HAYATAKI UJUAJI KAA TU KIMYA
 
Halfu usitake kutudanganya kitoto, kwanza inabidi ujue maana ya Shemela, hlfu hiyo video ni ya snap chat, sio raisi kwamb MH aliitupia kwenye story yake, think outside the box kwnz

Sawa mkuu nimekuelewa ila sija amanisha sauti ni ya Mheshimiwa nimeuliza tu kama sauti ya huyo mtu kuna anaeifahamu.
 
Mheshimiwa Gavana wa jiji letu ni mpenda mimia mwenzangu.

Hata kama ningekua mimi huo mkia nisingeuacha, sio kule juu chuo kikuu, mimi ningempangia nyumba masaki kabisa.
 
MH. PAUL MAKONDA

Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao

Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha

Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka

Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu

Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha

Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli
Well said mkuu. Makonda achia hao vijana, hii kazi viachie vyombo vya usalama wao wana utaalam zaidi. Acheni kuonea watu, kisa mnapata support ya mkuu.
 
Back
Top Bottom