Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyombo vya usalama vipi tena?? kwani makonda sio chombo cha usalama?? au hujui ananafasi gani kama mkuu wa mkoa .Well said mkuu. Makonda achia hao vijana, hii kazi viachie vyombo vya usalama wao wana utaalam zaidi. Acheni kuonea watu, kisa mnapata support ya mkuu.
Mbona mage kaisha weka ushaidi makonda akiwa na Agnes we vita na mage lazima ushaidi awe nao kaangalieMange anajifanya akili kubwa lakin Hamna kitu anakurupuka tu
Wadau kwa heshima na taadhima naombeni kujua sauti ya mtu anaeita "Aggie njoo" na jina la huyu mrembo aisee wakubwa wanafaidi sana dah!
Kwani yeye kalala na wangapiUsimhukumu maana huenda ana ushahidi wa kutosha kwa alichoongea.Mahakama pekee ndio itatoa hukumu.
Unaweza kuwa na Kesi 100 na ukashinda zote.
sio kweli nyie ndio mnataka kukuza mambo na kumpaisha wema au kumwona sijui ni nani au yupo juu ya sheria kakosea lazima awajibishwe?? kwani huko polisi centre yupo peke yake?? mshaambiwa wapo watu 112 na wanaanza kupelekwa mahakamaniKwel mkuu mm ingawa sio shabiki yake Wema lakini kwa nini wamuandame yeye tu. Jamani tusipende watu wengine waonewe bila kosa.
shigongo ashasomeshwa anafaham namba za kigiriki na kiiebrania hatariHATA KAMA ANATEMBEA NAYE NDIO KUTAFUTA TUHUMA ZAKE......? asimshambulie mtu akifikiri itasaidia zaidi ya kumuangamiza HII NI AWAMU YA TANO ,HII NAMBA TUTAISOMA WOOOTE WALIOPEWA HELA NA KUIPIGIA DEBE CCM , NA WALE WALIOKUWA WAKISHANGAA SHANGAA KUNDI KUBWA LA WASANII KUUKIMBIA UPINZANI.......!!
Mchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Kama uko Tanzania jiangalie. Kuokota mambo kutoka kwa Mange Kimambi na kuyaweka hapa kama yalivyo kutakuponza. Ila kama uko USA Baby mwagika tu kwa raha zako. Ila ingependeza mtu wanakunyuka huku ukipigania jambo la maana na siyo msambwanda wa Masogange [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu usichokijua si maana hakipoHow can you prove beyond reasonable doubt kwamba huyo aliyerekodiwa ni Wema? Kuna any precedences kwa Tanzania ku-back up your claim?
Halafu reception ya kawaida sana, sasa uko upstair unaweza kukuta hakuna kitu kabisa.kweupeee
Acheni mapenzi yenu kwa wemaHii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
Nyinyi mnaushahidi gani anatembea nae?Hii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.