Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Wachangiaji wengi mnamshambulia Wema kuwa ameropoka bila kuwa na ushahidi kwa hiyo ni kosa. Ila nionavyo Mimi Wema na mwenzie Maconder ni waropokaji wote. je Maconder yeye ana ushahidi bila chembe kuwa Wema ni mtumiaji au muuzaji wa unga? kama mahakama itamuona Wema hana hatia mtaweka wapi sura zenu? Wema kamtuhumu maconder sawa, na Maconder kamtuhumu wema, kwa kifupi zote ni tuhuma, msema kweli na mtoa haki ni mahakama. mi sitetei ujinga wa upande. subirini mahakama itoe haki, imsafishe Wema ama Maconder, vinginevyo nanyi ni waropokaji.
 
Well said mkuu. Makonda achia hao vijana, hii kazi viachie vyombo vya usalama wao wana utaalam zaidi. Acheni kuonea watu, kisa mnapata support ya mkuu.
vyombo vya usalama vipi tena?? kwani makonda sio chombo cha usalama?? au hujui ananafasi gani kama mkuu wa mkoa .
 
Mange anajifanya akili kubwa lakin Hamna kitu anakurupuka tu
Mbona mage kaisha weka ushaidi makonda akiwa na Agnes we vita na mage lazima ushaidi awe nao kaangalie
 
Kama kesi ya kusingiziwa masogange basi naona RC ndo atakutana na kashi hiyo
 
Kwel mkuu mm ingawa sio shabiki yake Wema lakini kwa nini wamuandame yeye tu. Jamani tusipende watu wengine waonewe bila kosa.
sio kweli nyie ndio mnataka kukuza mambo na kumpaisha wema au kumwona sijui ni nani au yupo juu ya sheria kakosea lazima awajibishwe?? kwani huko polisi centre yupo peke yake?? mshaambiwa wapo watu 112 na wanaanza kupelekwa mahakamani
 
lkn bila unafiki hata kama mi ndio napata nafasi kama ya Maconder simwachi mtoto kama Masongange yaani mtoto kiuno kiuno, takotako yaani sura nyororo, na kazi ya pesa ni matumizi, na matumizi ndio kama haya, big up Paulo. kweli wakubwa mnafaidi sana.
 
shigongo ashasomeshwa anafaham namba za kigiriki na kiiebrania hatari
 

Ni ukweli unaamini hii vita itafanikiwa kwa kupoteza muda na Wema?? ..

Hivi usalama wa taifa na polisi wanafanya kazi gani kushindwa kuipa serikali information mpaka tunahangaika na hawa akina Wema,??

Siamini kama Wema anaweza kutusaidia kukomesha madawa ya kulevya Tanzania, kama wewe ni mfuatiliaji wa JF utaelewa kwa nini nina wasiwasi na hii vita ilipoanzia....Kuna zile barua zilichapwa sana humu JF za wafungwa walioko China na zimetaja majina ya matajiri wa hao Mapunda sasa nashangaa tunapomfuata Wema ambaye sikuwahi kuona mahali popote akitajwa na kuwaacha hao ambao kila siku hutajwa na mpaka wengine kutumikia vifungo nchi za nje kwa makosa ya madawa..Intelejensia yetu inafanya kazi gani???
 
hapa ndipo ilipoishia intelejensia yetu.
Vyombo vya usalama hivi tunawalipa mishahara ya nini???..
 

Ni Mtanzania ina naishi ughaibunina nimeuliza tu sauti inayoita "Aggie njoo" ni ya nani nimehisi kama yako mkuu. Kama ni yako unafaidi sana aisee hahahahaha
 
How can you prove beyond reasonable doubt kwamba huyo aliyerekodiwa ni Wema? Kuna any precedences kwa Tanzania ku-back up your claim?
Kitu usichokijua si maana hakipo
 
Hii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
Acheni mapenzi yenu kwa wema
 
Hii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
Nyinyi mnaushahidi gani anatembea nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…