Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

waliomrecd ni usalama kaka ila afunguke zaidi ndio maana wanamjaza ujinga hàpo
Kwa hiyo kama ni usalama, kukiwa na a fair judgement process wao usalama wanakuwa above the law? Ungeelewa logic nyuma ya maelezo yangu, ungejua kwama proving beyond reasonable doubt doesn't matter who was recording.
 
What strategy do you think he can use to overcome the situation....? Hapa Hakuna cha kik kama mlivyo karirishwa. Makonda go.....!!!!
Well said mkuu. Mfa maji haachi kutaptapa. Huwezi kamatwa kwa wizi ukasema mbona Fulani anaiba hakamatwi halafu ukashinda kesi ukaachiwa.
 
Imethibitika kuwa amekutwa na misokoto mingi ya bangi [nayo ni aina ya madawa ya kulevya]
na anapelekwa mahakamani na huko ndipo uthibitisho utapatikana.
 
Masogange analiwa(anatazamwa) na almost kila mtu so Wema asitutoe kwenye lengo. Sisi tumechagua kuanza na yeye. Ikiwa Masogange yuko ktk Chain, itafika time ya zamu yake. Nothing to loose Mr. Makonda keep on catching their backs (uncovered issues).
 
hahahahaa, Watu wabayaaa, Eti wanahoji video clip katika hii video ni ya nani.?

Aggyyyyyy, Njoo.

 

Attachments

Shida ya viongozi wengi wa serikali ya awamu ya tano ni kujua matatizo ya watanzania ila wasijue ni which is the best approach to resolve them.
 
Hii nchi haina sheria na itaendeshwa kwa hisia hisia. Wataalam wanaoshughulikia mambo ya sheria na kuwafichua wahalifu wamebanwa na badala yake siasa ndio iko mbele.

Tanzania isipoangalia itakuwa ni nchi ya mwisho hata ndani ya Afrika. Ni aibu kubwa hii.

Nyakati zote tumepata viongozi lakini safari hii tumepata watawala. Tanzania yangu nakuonea huruma.
 
Binamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .
Asante Mkuu Wameelewa nadhani[emoji106]
 
Insta hio inamponza kwa Ushabiki
 
It is sickening to see the sick being vehemently condemned by our own Leaders who we seek for, security and prosperity in our daily social-economic life. It is a well known fact now, that drug user have a mental disorder/issue...its a matter of public debate, scientific research and not a political egoism!

Kamwe, narudia Kamwe haitatokea kuwa vita ya madawa ya kulevya itashinda. Haiwezekani kuwa baada ya shamra shamra za kuwakamata "watumiaji" na "wauzaji" ati tunasikia eti, "msokoto wa bangi" "wanahusika" "uchunguzi unaendelea" n.k mlikuwa wapi kabla ya mlipuko wa utumiaji na biashara hizi? hususani madawa ambayo hayapatikani nchini mwetu cocaine, heroine na mengineyo ?

Mimi binafsi ningependa kuona kuwa hatuyumbishwi, kIuchumi(nguvu kazi) Kisiasa na Kijamii na madawa ya Kulevya...kwa kutafuta na kupata ufumbuzi wa jinsi ya kutokomeza biashara(haramu kama hauusiki) na Utumiaji(mhalifu) Utumiaji wa lugha za kuwakebei watumiaji, vile vile na lugha za kuwaenzi na kushabikia wauzaji(eti zungu la unga) mfanyabishara maarufu nk Sheria zifuatwe.

Ukiangalia Juu Juu (Uwanja wa ndege, bandari, na mipaka ya nchi yetu) sehemu ambazo haya madawa yanaingizwa na kutoka, basi kuna wahusika humo! Vidagaa mpaka misangara!

Nasema hivi, ikitokea "vita ya madawa ya kulevya" itashindwa kupata ufumbuzi katika Uchaguzi ujao;- Kura hampati!
 
Wema kachetuka Alafu inawezekana anatumia nguvu Sana kuliko akili ndo maana
 
Wema kachetuka Alafu inawezekana anatumia nguvu Sana kuliko akili ndo maana
Anayetumia nguvu kuliko akili katika hili anajulikana, mwambieni msimsingizie Wema. Wema ni mnyonge ndo maana alipoonewa ameona njia pekee ya kumlipiza mtesi wake ni kutoa angalau siri zake ili jamii ifahamu.
 
Imekula kwa Makonda. Ilikua ni muda kabla anayofanya hayajamtokea puani. Sasa hata amfanyeje huyo Wema ishu ya Masogange km ni kweli anasuuzia hapo ndo inaenda nae.

Ofcoz Wema ana kesi tu ya defamation km si kweli labda na kutukana.
 
Ukweli wanajichanganya wenyewe, kama ulijua anauza madawa kwanini usimtaje. Vyombo vya dola hakuna?
Si ulihojiwa je ulimtaja, sasa ukitaja ukirekodiwa ndiyo mahakama?.

Hadi hapo ushaanza kuonekana ni mfwa maji asiyeisha kutapatapa Wema, gugumaji utashikilia hata ukiona povu la wimbi utatamani ulidake uokokea na kifo cha maji.
Hata ikisemwa kuwa Aness aliwahi kukamatwa na madawa huko Bondeni, ile ni miaka imeenda kama unaamini ni kweii pia haiwezi kumuweka ndani. Unaweza kukuta alishaacha, utamtaja vipi hapo? Ni sawa kumuorodhesha Ray C au Young Dee hivi sasa kwenye list wakati walishaacha kitambo
 
Walishaacha?
 
Hakuna point hapo, wewe unashabikia visivyo na maana, [HASHTAG]#jichekiupya[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…