Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Fikrazangu zinanituma kuwa kwa ngalambengalambe hii kiasi flan wauzaji watatishika japo kidogo maana ilikuwa holela shwangwe hata usiri wa wauzaji ukapotea imekuwa kama biashara halali.
 
Makonda kama nyumba yako ni ya vioo usitupe mawe kwa wenzio!! haya sasa conflict of interest Masogange unamgegeda na madawa anajulikana ni wa longii halo kamateni makondoa
 
nimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
Who the hell is mkuu wa mkoa?? Trump anasemwa ndo iwe huyo mkuu wa mkoa??
 
Umethibitishaje kama walishaacha
 
nimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
Mshamba utamjua tuu! Ukuu wa mkoa ni cheo cha msimu walikuwepo kina magesa mulongo na walivuma haswa wako wapi leo? acheni kutukuza ujinga hata kama elimu hamna.
 
Ndugu,
Tujiulize swali kidogo,wakati watuhumiwa wa matuzi ya madawa ya kulevya na watumiaji ambao wengi wameshikiliwa toka ijumaa wakifikishwa leo mahakamani.
Ni nini kilichotokea kwa wema sepetu?

Mbona katika orodha ya waliopewa dhamana jina lake limo lakini hakuwepo mahakamani.
Kwanini Wema Sepetu hakufikishwa mahakamani?

Pia kwa maelezo ya kamanda siro jana alitoa ufafanuzi kwa kila mtuhumiwa na alidai kwamba walipoenda kwa wema sepetu kumsachi walipata msokoto wa bangi na karatasi zinazotumika kwenye bangi.

Lakini pia ikumbukwe kwamba wema sepetu aliitwa kuripoti polisi na hakukamatiwa nyumbani na kosa aliloitiwa polisi lilikuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya kabla ya kubadilishwa na kutuhumiwa kuwa muuzaji kwa mujibu wa maelezo yake kwenye clip inayotembea mitandaoni toka jana,sasa nina swali.

Hivi mtu anayetuhumiwa kutumia madawa ya kulevya inawezekana kweli akaitwa polisi kujieleza kwa kosa hilo huku akiacha madaw ya kulevya ndani kwake?

Aliyewanyima watanzania elimu ndiye aliyeliangamiza taifa la Tanzania.

Swelana.
 
Hapa ni kuwa Masogange naye kaingia kwenye picha kama stelingi mbadala. Sirro ana msikiliza Makonda, na Makonda anamsikiliza Masogange.
Picha hii inasikitisha sana, hata kama hatupendi biashara hii ya madawa ya kulevya lakini sio vizuri mambo ya michepuko tukayaingiza katika utekelezaji wa sheria
 
Simply , ni kwamba hapo kuna chuki binafsi tu...

Inaelekea makonder alinyimwa Kikojole* ,

Btw wema kafunguka sana kwenye ile clip, (tusubir kama masogange nae atakamatwa)
 


Aliacha hayo madawa nyumbani kwake avute akirudi kwa sababu hakujuwa kama atashikiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…