Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Tuna uhakika gani kama huo msokoto haukuwekwa na askari wenyewe kwa amri ya makondakta? Ule ni ushahidi wa kupandikizwa tu.
xx km kamtia masogange,batuli,kajala nkSimply , ni kwamba hapo kuna chuki binafsi tu...
Inaelekea makonder alinyimwa Kikojole* ,
Btw wema kafunguka sana kwenye ile clip, (tusubir kama masogange nae atakamatwa)
Tanzania yetu ndio inchi ya furahaInafika kipindi naona Aibu kuwa mtanzania
Bosi jina lako la kisanii nani!?Aisee hakika kwa sasa wasanii tunaikumbuka ile awamu ya nyuma.
Wewe umemla?xx km kamtia masogange,batuli,kajala nk
wema ana nyapu gan ya kukaza wakat kila aliyehitaji kapita!
[HASHTAG]#hakun[/HASHTAG] mkate mgum mbel ya chai
Ila jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli
Mfu anasubirigi adui yake? Yeye Mungu mpaka ajue ajapo Mange bado atakuwa hai an na influence? I dont think so?Mange mwenyewe ni suala la muda labda asirudi bongo maana wanamsubiri kwa ham kweli kweli na mkumbuke ni miaka kumi
Mimi nilidhani hoja yake kubwa ingekuwa ameonewa kwani hahusiki na matumizi pamoja na biashara hiyo haramu
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Huo ukuu wa wilaya(before kuwa mkuu wa mkoa) aliupata kwa kumtandika makofi Waziri mkuu mstaafu.By the way jasiri haachi asili.makonda huyu hivi hana style nyingine ya kusolve matatizo. kiki kila mahali
hakuna ajuae kesho