Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Nina imaindi hiyo ya kumfanya mze aonekane kijana. Subiri nikifikisha miaka 85 nitaanza kuitumia kwani sitaki nizeeke bila kushuhudia malaria imetokomozwa kabisaaaaaa hapa nchini, ukimwi, saratani, sukari, kuwa gumzo yaani kama malaria tu kwa sasa kutokana na kuwa na tiba zake. Daraja la Kigamboni kwisha na watu kujirusha ku commit sucide, fly overs za jijini kila wilaya, kila mkoa kuwa na kiwanja cha ndege cha kisasa pamoja na vya mpira, Taifa stars imeshinda kombe la dunia mara tatu, na Tanzania imekuwa super power. Yote yanawezekana kutokana na uvumbuzi wa gesi letu na serikali imara ya Chadema ikiongozwa na waziri wa afya Mheshimiwa MziziMkavu, wana JF, pamoja nami mbunge nisiye na posho.
Last edited by a moderator: